Nape haangalii bigger picture, focus yake kaweka kwenye vitu vidogo ambavyo havina maana yeyote wala maslahi Kwa wananchi na Taifa Kwa ujumla, vitu kama ofisi Kwa waziri he can overrule na kutoa waiver ili jamaa waanze kazi na haina maana amevunja Sheria, siamini jamaa kama ni boya kiasi hicho, wenzake Wana line up kuongea na Starlink walete internet lenyewe limekaa ofisini kujiona Babu kubwa waje walibembeleze kutoa kibali, hili jamaa ni young lakini bado linaishi stone age, tuna watu wa hovyo sana hii serikali, kiongozi mzuri angefanya Kila njia jamaa waje sio kuweka demand za kipuuzi kama ofisi, na kuhalalisha ufala wake eti hata wenye Starlink nao walipata matatizo ya internet na sio kweli anyway, na kuongeza uboya wake eti sasa tuna focus na satellite yetu...Nape toa licence Acha ufala