Watumiaji wa king'amuzi cha Canal Plus, tupeane updates za matangazo ya mpira

Watumiaji wa king'amuzi cha Canal Plus, tupeane updates za matangazo ya mpira

Lee

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2013
Posts
43,973
Reaction score
150,463
Habari wanajamvi ,wale wapenzi na watumiaji wa ving'amuzi vya canal plus tukutane hapa na kupeana updates hasa kuhusu matangazo na ratiba yao ya mpira na vipindi vingine.

Leo taifa stars inacheza CHAN na wanarusha sport 1.

IMG-20210117-WA0002.jpg
 
Ungelezea zaidi ndugu ile wengine tujue Cha zaidi kilichopo huko canal

Kama ishu ni kuonyesha mechi ya taifa star ata star time wanaonyeasha kwenye Chanel ya s.sport focus.
Hapana ishu sio kuonesha mechi hiyo sema lengo ni kuwa na thread ya hii kitu make changamoto yake watumiaji sio wengi sana ila tunaotumia huwa tunapata shida ya kujua updates za channel zake ,mfano huwa namsumbua mkuu mmoja humu kunitumia ratba za mechi kwa channel husika
 
Back
Top Bottom