white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Hivi mkuu nikihitaji hiyo decoder ya canal , naipataje na je hiyo 50, 000 ni tsh.?na inakuwa na dish lake?na malipo kwa mwezi kifurushi cha mipira yote ni bei gani?!nitashukuruBurundi unapata kwa 50,000/=
Mkuu upo Dar??? Gharama zake zipoje kwa upande wa king'amuzi chenyewe pamoja na vifurushi??? Na unalipiaje pindi kifurushi kikiisha???Canal+ ni kilakitu kwangu upande wa soccer
Mwenye kujua atusaidie tunapataje hicho king'amuzi kwa dar
Wakuu nasikia jamaa walizundua king'amuzi kwa ajili ya lugha ya kingereza hili limekaaje? Kuna ukweli wowote?
Chief kwahiyo hivi vipya vitakua vishafika huku kwetu eeeh??Walishazindua mzee
Chief kwahiyo hivi vipya vitakua vishafika huku kwetu eeeh??
Pamoja sana mkuu. Ngoja nikakisake kimoja.Kitambo
Hiki kingamuzi Kwa Tanga kina operate?
Na wewe huwa upo huku kumbe?Habari wanajamvi ,wale wapenzi na watumiaji wa ving'amuzi vya canal plus tukutane hapa na kupeana updates hasa kuhusu matangazo na ratiba yao ya mpira na vipindi vingine.
Leo taifa stars inacheza CHAN na wanarusha sport 1.
View attachment 1681083
Lini?Walishazindua mzee
Mpaka Lindi kinafanya kazi babuHiki kingamuzi Kwa Tanga kina operate?
Na ni sh ngapi? Nipo nasubiria jibu