Wanaonesha kwenye channels za Supersport (ndani ya canal plus) ila utapaswa kufanya malipo ya ziadaEUROPA LEAGUE canal hawaoneshi??
[emoji16][emoji16][emoji16]Coma SavaaTCRA hawazingua mkuu...nahitaji na mm nitajifunza kifaransa baadae ..kwakua lugha ya mpira wote tunaijua...
naipataje hio Canal nduguKingine cha ziada channel zao ni full HD
probablyWakuu
Canal+ inaonyesha UFC na boxin matches???
Michezo yote mpk kusaka wadudu kwenye topeprobably
Hapo sifahamuMichezo yote mpk kusaka wadudu kwenye tope
Tofauti yake ni nini?Kuna 50k kuna 37k
TunapatajeCanal+ ni kilakitu kwangu upande wa soccer
Njoo dm!! Upate namba.Mwenye updates nakitaka hiki
Karibu.Mwenye updates nakitaka hiki
Vifurushi vyake bei zikoje
Vifurushi vipo kwaVifurushi vyake bei zikoje