HahahahTabasamu jamani
KhaaaaVilinishinda wenyewe wanasifia mnoo unamsikia nataka taste ya strawberry
HahahahKhaaaa
Yaani usiombe avute halafu awe mchafu!!Ndio mana nikamuuliza jamani nijiandae kubanjiwa mana wavuta sigara wana kwaza kwa mambo mengi mnoo
Ptyuuuuuuuuu halafu mijitu ya hivyo nahisi inakuwa inapenda kukiss kiss hakiii utatamani ujifiche ukimuonaYaani usiombe avute halafu awe mchafu!!
Wanatakiwa kuswaki si chini ya mara tatu kwa siku!! Sasa ukutane na anayeswaki asubuhi tuu, utaomba poooh
Hayo Ni mawazo yako mkuu, Sigara Ni refresher kama viburudisho vingine, n Kila kitu huwa kina hasara zake.Wavutaji wa sigara wote ni mataahira wanaambiwa ina madhara lakini bado wanavuta
HahahaPtyuuuuuuuuu halafu mijitu ya hivyo nahisi inakuwa inapenda kukiss kiss hakiii utatamani ujifiche ukimuona
Hongera sana mkuu, kuacha uvutaji wa Sigara Ni kugumu mno.Nilikuwa addicted sana na hiyo makitu kwa zaidi ya miaka 20, namshukuru sana sana sana Mwenyezi Mungu nilifanikiwa kuacha kuvuta sigara kwa zaidi ya miaka 10 sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan Davet kama anavuta sigara hapana aiseeHahaha
Amkiss nani kwa mfano, ningekuwa namtimua aki
Hakuna kitu kisicho na madhara, ukiwa na mawazo ya namna yako utajikuta unaogopa kutumia hata sukari.Anzeni kujipanga namna ya kukabiliana Na kansa ya mapafu
Mkuu Embassy inapendwa na wengi, mimi nikiwa mmoja wapo. Napendelea sana embassy ,nkikosa hiyo Ni Dunhill au Marlboro .Mm sio mvutaji lakini naonja kwa mwaka Mara 2 na kwa matukio maalumu,..naipenda sana ubalozi(embassy) na Carmel[emoji6] nikikosa basi sports.
We said...Sivuti Sigara, ila wewe ulie na akili timamu, ulitakiwa kuonyesha, kuwa unaakili timamu,
kwa kuwashauri, kwa maneno mazuri. Ila unapowaita matahira wakati ni watu wenye akili timamu, Wanaendesha mipango yao vizuri, na wengine wamefanikiwa zaidi yako. Wachina %80 wanavuta Sigara.
Maprofesa, Madaktari, Walimu, na Watalaam wa fani mbali mbali wanavuta sigara.
Unajua, Uji ukiuita Maziwa pale wewe utaonesha dalili za utahira, Sasa wewe wavuta sigara, kuwaita matahira, huku ikijulikana ni watu na akili zao, Sijui tahira ni nani kati yako na wao.
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan Davet kama anavuta sigara hapana aisee
Sidhani jamani sigara zote anazijuaHahaha
Kasema anaona kwa majirani tuu
[emoji23][emoji23][emoji23]aiseeeHivi kweli ukavuta?! Woooi
Sigara iko psychological(as in nicotine affects the brain). ndipo psychology inapelekea physiological changes. Inafika kipindi mtu anaweza kukosa usingizi pasipo kuvuta sigara.Na me nasubiri jibu