Watumiaji Wa Sigara tukutane hapa

Watumiaji Wa Sigara tukutane hapa

Yaani usiombe avute halafu awe mchafu!!
Wanatakiwa kuswaki si chini ya mara tatu kwa siku!! Sasa ukutane na anayeswaki asubuhi tuu, utaomba poooh
Ptyuuuuuuuuu halafu mijitu ya hivyo nahisi inakuwa inapenda kukiss kiss hakiii utatamani ujifiche ukimuona
 
Nilikuwa addicted sana na hiyo makitu kwa zaidi ya miaka 20, namshukuru sana sana sana Mwenyezi Mungu nilifanikiwa kuacha kuvuta sigara kwa zaidi ya miaka 10 sasa
Hongera sana mkuu, kuacha uvutaji wa Sigara Ni kugumu mno.
 
Mm sio mvutaji lakini naonja kwa mwaka Mara 2 na kwa matukio maalumu,..naipenda sana ubalozi(embassy) na Carmel[emoji6] nikikosa basi sports.
Mkuu Embassy inapendwa na wengi, mimi nikiwa mmoja wapo. Napendelea sana embassy ,nkikosa hiyo Ni Dunhill au Marlboro .
 
Sivuti Sigara, ila wewe ulie na akili timamu, ulitakiwa kuonyesha, kuwa unaakili timamu,
kwa kuwashauri, kwa maneno mazuri. Ila unapowaita matahira wakati ni watu wenye akili timamu, Wanaendesha mipango yao vizuri, na wengine wamefanikiwa zaidi yako. Wachina %80 wanavuta Sigara.
Maprofesa, Madaktari, Walimu, na Watalaam wa fani mbali mbali wanavuta sigara.
Unajua, Uji ukiuita Maziwa pale wewe utaonesha dalili za utahira, Sasa wewe wavuta sigara, kuwaita matahira, huku ikijulikana ni watu na akili zao, Sijui tahira ni nani kati yako na wao.
We said...
 
Mie kila nikijaribu kuvuta sigara lazima njiskie kichefu chefu na kama nikiwa nimetoka kula lazima nikitoe,so naichukia kwa sababu hiyo. Ila ile yenye moshi mwembamba siachi ng'oo.
 
hii kitu nlitest enzi zile niko form one, ila nashukuru WAZAZI WALIPAMBANA NIKAACHA
 
Back
Top Bottom