Hahah!! Mkuu billie umenifurahisha sema mimi napenda vijana kama hvyo wawe wanajaribu jaribu vitu tokauti bado mapema, kama ww hvyo umetest mjani ukaona sio fani yako ukaendelea na pumzi tu. Ila mjani una mzuka wake ndugu ukipiga unajiona upo kwenye ulimwengu wa kipekee kabisaUshavutaga kwani mi nishawahi kuonja bangi nikiwa nadoma pale azaboy ili mida fulani tuende Bill canas club aisee nilikuwa naona kama dunia nzima wamenong'onezwa kuwa nimevuta bangi aisee tangu siku ile nikasema sivuti tena sigara nitavuta pumzi tu [emoji23] [emoji23]
So we unapiga mpaka leo mi nilijiona sio mteuleHahah!! Mkuu billie umenifurahisha sema mimi napenda vijana kama hvyo wawe wanajaribu jaribu vitu tokauti bado mapema, kama ww hvyo umetest mjani ukaona sio fani yako ukaendelea na pumzi tu. Ila mjani una mzuka wake ndugu ukipiga unajiona upo kwenye ulimwengu wa kipekee kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23] sio muhanga kabisa wa hilo ganga ila kwa matukio maalum sana yani kwa mwaka mara moja sio mbaya japo na mimi sio mteule mana unavonifanyaga sio poaSo we unapiga mpaka leo mi nilijiona sio mteule
Bora uache maana watu wengi wanaamini kila mvuta bngi ni kichaa[emoji23][emoji23][emoji23] sio muhanga kabisa wa hilo ganga ila kwa matukio maalum sana yani kwa mwaka mara moja sio mbaya japo na mimi sio mteule mana unavonifanyaga sio poa
Amna mkuu hayo maneno tu siunajua watu wanapenda kuchafua starehe za watu afu wanajuaga watu wa mjani ni wale wa vijiweni tu wenye manywele yao machafu, hawajui ata maoficen wadau wapo hadi bungeni watu wamekula suti na wanatoa hoja za mzingi huku wamapendeza kichwaniBora uache maana watu wengi wanaamini kila mvuta bngi ni kichaa
Hakuna kitu kinaniudhi pale mtu akiona ana misbehave wasema huyu anavuta Bangi nni?Amna mkuu hayo maneno tu siunajua watu wanapenda kuchafua starehe za watu afu wanajuaga watu wa mjani ni wale wa vijiweni tu wenye manywele yao machafu, hawajui ata maoficen wadau wapo hadi bungeni watu wamekula suti na wanatoa hoja za mzingi huku wamapendeza kichwani
Sure mkuu wanaikosea heshima sana na huo msemo umekua kama tamaduni sasaHakuna kitu kinaniudhi pale mtu akiona ana misbehave wasema huyu anavuta Bangi nni?
Habari za Muda huu Wakuu,
Binafsi nina Addiction ya uvutaji Sigara. Wale wenye addiction ya uvutaji wa Sigara tubadilishane mawazo na tupeane maujanja na kujuzana aina mbali mbali za Sigara na flavor zake.
Personally huwa navuta most of cigarettes isipokuwa zenye sweet menthol kutokana na mahali nilipo na Upatikanaji wa Sigara kwa Muda huo.
Karibuni.
Mbona uzinzi na ufiraji viketaliwa na kulaniwa na vitabu vya dini lakini mpo mnaoviendekeza??Nyie mataira kweli sigara imeandikwa ni hatari kwa afya nyie mnavuta mataira wakubwa sana mnamwitaji Yesu awatoe pepo hilo
Raha ya jani ukute unaingia kufanya upasuajiSo we unapiga mpaka leo mi nilijiona sio mteule
Futa hii komenti mkuuUjinga wa fegi:
1)Ukipata wazo au Habari flani nzuri ujue hapo lazima utaiwasha
2) Ukiwa Na msongo wa mawazo hapo zitawashwa bandika bandua
3) Fegi zinapenda sana maeneo ya upweke upweke hv,maeneo yasio Na movement ya watu.....lazima uwashe
4)Ukimaliza kula tu lazima uitafute ilipo
5) Zinakutengenezea umaarufu sana kwa akina mango
6)Upo ladhi kutembea km 5 kwa miguu kufata sigara
7) Sigara ukivuta Huku ukiwa Na msichana itakuwa tamu ajabu..yan ushetani mtupu
8)Upo tayari kuchenji elf kumi kwa ajili ya sigara moja
9) Sigara ya kwanza ya asubuhi ni tamu kuliko zinazofuata siku hiyo
10)Ukionekana unavuta Sigara hadharani jamii inakutoa akili
11) Ukivuta idadi kubwa ambayo siyo kawaida yako jipange kupokea mapigo ya moyo yasiyoeleweka wakati wa kulala
12) Ukiwasha Sigara mpya then ukavuta nusu kisha ukaizima/ukaipiga nyundo....kesho yake ukikirudia kile kipisi ukichokizima kinakuwa kikali Mara mbili kuliko kawaida
13) Ukikaa kutwa mzima usivute then ukaja kuvuta jioni Huku umesimama wima huenda ukadondoka chini kwa maluwe luwe utakayoyaona
Ni mengi sana Ila Sigara kiujumla ni mbaya hata muipambe vipi.
we ulishatumia ukayaona hayo madharaWe unaambiwa kitu fulani sumu bado unatumia ile haina sijui utumie Kidogo kama bia Wanakwambiaje'ONYO UVUTAJI WA SIGARA NI HATARI KWA AFYA YAKO'mtu ambaye haelewi tunamfananisha na taahira nimetumia neno hili kumaanisha mtu asiyeelewa
Nipo mkuu ila huwa navuta kwa kificho sanaMdau wa ubalozi
[emoji23][emoji23]Nipo mkuu ila huwa navuta kwa kificho sana