Ujinga wa fegi:
1)Ukipata wazo au Habari flani nzuri ujue hapo lazima utaiwasha
2) Ukiwa Na msongo wa mawazo hapo zitawashwa bandika bandua
3) Fegi zinapenda sana maeneo ya upweke upweke hv,maeneo yasio Na movement ya watu.....lazima uwashe
4)Ukimaliza kula tu lazima uitafute ilipo
5) Zinakutengenezea umaarufu sana kwa akina mango
6)Upo ladhi kutembea km 5 kwa miguu kufata sigara
7) Sigara ukivuta Huku ukiwa Na msichana itakuwa tamu ajabu..yan ushetani mtupu
8)Upo tayari kuchenji elf kumi kwa ajili ya sigara moja
9) Sigara ya kwanza ya asubuhi ni tamu kuliko zinazofuata siku hiyo
10)Ukionekana unavuta Sigara hadharani jamii inakutoa akili
11) Ukivuta idadi kubwa ambayo siyo kawaida yako jipange kupokea mapigo ya moyo yasiyoeleweka wakati wa kulala
12) Ukiwasha Sigara mpya then ukavuta nusu kisha ukaizima/ukaipiga nyundo....kesho yake ukikirudia kile kipisi ukichokizima kinakuwa kikali Mara mbili kuliko kawaida
13) Ukikaa kutwa mzima usivute then ukaja kuvuta jioni Huku umesimama wima huenda ukadondoka chini kwa maluwe luwe utakayoyaona
Ni mengi sana Ila Sigara kiujumla ni mbaya hata muipambe vipi.