Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Hivi humjui bae wako jamaniiMh kwa kuruka tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi humjui bae wako jamaniiMh kwa kuruka tu
Yaan acha tu nionekane mshamba vingine vimenishida wanavuta shisha kila tukitoka nikasema ebu nijaribu na mm nijionee naona mamoshi tu wananiambia vuta halafu uachie jamani vikanishinda[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kumjuaje jamaniHivi humjui bae wako jamanii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli tumeumbwa tofauti!Kila mtu na starehe yake nilijaribishaga kuvuta shisha tumetoka rafiki zangu kila mtu na mtungi wake nawaona kabisa wanaenjoy nikasema na mm ngoja nijaribu naona moshi tu sijaona raha yoyote
Yes swirryy,.mm huwa naenjoy sana tena ninapo nyanyua shingo juu na kuachia moshi wa mdomoni na puani,.alooo tamu Sanaaa[emoji16][emoji16][emoji16]Ndugu, mumu na Daviet wanasema eti inatia stimu fulani amazing
Ni kweli unachokisema.Siku hizi huwa najitahidi kukaa mbali na wavutaji ili nisifurahie moshi waoMmmh
Angalia vizuri wanasema ule moshi hudhuru kuliko anayevuta!!! Mie nikisikia harufu ntakohoa mpaka nitapikee!!
HahahaDada jamani ndio tunini hivyo
Duh! Basi katika vitu vinavyonifanya niogope kuvuta sigara huwa ni kitendo cha kuona moshi ukitokea puani kwa mvutaji, huwa nahisi pua linapata shida. Kumbe kwako ndio starehe yenyeweYes swirryy,.mm huwa naenjoy sana tena ninapo nyanyua shingo juu na kuachia moshi wa mdomoni na puani,.alooo tamu Sanaaa[emoji16][emoji16][emoji16]
HahahaCheko mubashara cheko lina maana sana hili sababu nakufahamu
Haha...ila nlishaacha siku ileileHahah!! Hzo za kujaribu kiwizi wizi huwa haziishi haraka
Hivi kweli ukavuta?! WoooiYaan acha tu nionekane mshamba vingine vimenishida wanavuta shisha kila tukitoka nikasema ebu nijaribu na mm nijionee naona mamoshi tu wananiambia vuta halafu uachie jamani vikanishinda
Kama anakula chigalaKumjuaje jamani
HahahaNi kweli unachokisema.Siku hizi huwa najitahidi kukaa mbali na wavutaji ili nisifurahie moshi wao
Hamna shida wala maumivu yoyote Yale ni kama kuvuta tuu oxygen, sema tuu moshi unaonekana ndio maana unahisi labda MTU anapata shida lakini wapii,.Duh! Basi katika vitu vinavyonifanya niogope kuvuta sigara huwa ni kitendo cha kuona moshi ukitokea puani kwa mvutaji, huwa nahisi pua linapata shida. Kumbe kwako ndio starehe yenyewe
Amini ninayokuambiaMh kwa kuruka tu
Ni vizuri rafikiHaha...ila nlishaacha siku ileile
Hahahahah nijibu basiHahaha
Ulivyouliza tuuu
Vilinishinda wenyewe wanasifia mnoo unamsikia nataka taste ya strawberryHivi kweli ukavuta?! Woooi
Tabasamu jamaniHahahahah nijibu basi
Ndio mana nikamuuliza jamani nijiandae kubanjiwa mana wavuta sigara wana kwaza kwa mambo mengi mnooKama anakula chigala