Watumiaji wa simu - mambo yanayokera

Iyo block takatifu ikoje? sasa asiseme ukweli no nani kampa au
 
Awe mkweli. Akianza kujizungusha namuona kama boya hajiamini. Block list yangu inakaribia watu 100 sasa hivi.
sasa no kapewa na masela sasa unataka akwambiaje kwamba we ndo ulimpa au? Na ofkoz atachohitaji awali hapo ni kutaka ukaribu kwanza sa hapo ndo kila mtu na approach yake
 
9 .mimi huwa nafuta number yako na si save tena hata kama ni ndugu
 
sasa kutojuana sindo mwanzo wakujuana, we sema kuna stlye za watu wanavyokuja ndo so mikato yako
Mikato yangu naijuaje kupitia sauti au chat mkuu?? sipendi tu yani kusumbuana. Mwanaume anatakiwa asiwe na kona kona
 
Mikato yangu naijuaje kupitia sauti au chat mkuu?? sipendi tu yani kusumbuana. Mwanaume anatakiwa asiwe na kona kona

Mi nasema yani approach anazokuja nazo labda ziko outdated ndo maana utaona kero, na akiwa direct mtasema unanionaje mimi au unahisi ushaniona ambiance eeh, you never know with womanπŸ˜›πŸ˜›
 
Kujitambulishana is one thing na kuongea menginw ni jambo lingine..

swala lilikua ni no lakini.. na kujitmbulisha ni yeye sasa na uzembe wake mpaka block imfate, poa lakin tubwage
 
Asee,, umegusa kero nyingi ambazo wengi hatuzipendi.
9.Kupiga simu bila sababu, ama tu una bundle unatafuta pa kulimalizia.
10. kuongea kwa sauti ya juu bila hata kusogea pembeni, unatusikilizisha yasiyotuhusu.
11. Baadhi ya miito ya simu inakuwa ni sauti ya juu na ni nyimbo fulani fulani ambazo hazina maadili.
TUBADILIKE
 
Ila hiyo ya Haloo sidhani kama ni Kero, ni mapokeo tu ya introduction ya mazungumzo ya simu. Na wakati mwingine mnaweza kuwa hamsikilizani then unaita haloo ili kupata uhakika kama jamaa yupo on air .
 
Hiyo ni sawa nazungumzia ile mtu kila ukimpigia simu yeye anaitikia haloo utadhani hamjui nayepiga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…