Unpaired
Senior Member
- Aug 3, 2018
- 176
- 169
Wale wanakutumia message, Hi I'm Ibra nimepewa namba yako na mtu nilikuona nikamuuliza akaniambia anakujua akanipa namba. Namuuliza enhee kwahiyo nikusaidie nini na ni nani aliekupa namba yangu. Anaanza ooh tuonane utajua yote hayo. Sheeenzi unakula block moja takatifu.
Au mtu anapiga simu eti mi bf wako au namba yangu umefuta? Jibu huwa nina mabf wengi embu nikimbushe we ni yupi kati yao. Ukijizungusha nakata simu ukipiga sipokei na usipojitambulisha ndo inakua milele amina
Iyo block takatifu ikoje? sasa asiseme ukweli no nani kampa au