Watumiaji wa simu - mambo yanayokera

Sasa utafanya ndio ameshakata na simu ulipiga wewe
 
Ukiona mtu anakwambia niambie ujue huna story ama u suck katika maongezi unakaza sana hisia!
 
Ukiona mtu anakwambia niambie ujue huna story ama u suck katika maongezi unakaza sana hisia!
Jamani me mbona bonge la mshkaji, sikazagi unless kuna issue ya kukaza. Nafikiri kuna watu sijui tu ndo kutokujua kucommunicate..... salamu nyingi afu anachomeka "nambie"
 
Jamani me mbona bonge la mshkaji, sikazagi unless kuna issue ya kukaza. Nafikiri kuna watu sijui tu ndo kutokujua kucommunicate..... salamu nyingi afu anachomeka "nambie"
Hahaha hio nambie inakujaga kama pre-set tu, hata mie inantokaga sema nikiongea na mtu ambae anansikilizia mimi tu, how comes mtoto wa kike ukose story while 50% ya mafaili kichwani yametawalwa na umbea tu ha ha ha! Huwa kuna GF wangu flani yeye hanaga story yani anaboaje, mkishasalimiana hana jipya yani huwa simpigiagi anabaki ananimaindi tu ila kuna siku nilimchana unaboa aisee yani aheri kuchat tu, yani unakosaje story nsimulie hata za enzi za utotoni kwako yani!
 
Mimi huyu navyopenda kuchat.. na mara nyingi inatokea kwa mtu ambaye sina story naye, ndo tunazoeana. Watu niliowaozea know how crazy i am, huwa tunaenda straight kwenye habari, salamu ni wakati wa kuagana
 
Haha boss unashindwa kumtumia hata zile za 'baby umekula' au 'karibu tule' huu ni utoto mwingine huwa siufagilii hata
 
Haha boss unashindwa kumtumia hata zile za 'baby umekula' au 'karibu tule' huu ni utoto mwingine huwa siufagilii hata
Si unajua kuna madhara ukicheza dana dana na bomu la mkononi! Huko kuuliza umekula hahah labda kuwe na mpango wa kutuma pesa! Maana wachumba wa Dar hawana dogo yani
 
Mnakataaga wachumba hivi×2 then baadae mnakuja kulalamika huku
 
Haha kiukweli mimi ukiona sina stori ya kukupigia usijisumbue na niambie zako ujue unaniboa tu nasubiri uage. Kuna kitu mimi huwa sikipendi..sitaki nikupigie mimi wewe ndio uwe wa kwanza kuaga huwa najihisi mnyonge sana kwa hiyo huwa natengeneza mazingira ya mimi kuaga kabla hatujafika huko kwenye niambie...naunganisha stori fasta fasta af ghafla nakuambia siku njema
Hahahah usimaindi sasa, kwangu mimi naaga tu mapema ila sasa unakuta boya anang'ang'ania kwahio hutaki kuongea na mimi au! Unabaki okay nambie,,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…