atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
Maneno huumba lkn,halafu Mzigua90 ile party ya jf get together vp?Babu weee waende tu kwani sh ngapi
Hahaha nakusubiriaHaha haya nisubirie
Basi ndio nimejua leoWewe hii ya kwetu sio new kapo sema tu ulikuwa huijui
Maneno huumba lkn,halafu Mzigua90 ile party ya jf get together vp?
Not new oneHahaha new couple jf
Kama ni kitu cha haraka si upige unatumaje sms na wwKuna mambo huwa nachukulia kama dharau tu kwakweli, kumtumia mtu text inayohitaji majibu ya haraka then anakuja kukujibu baada ya siku 5, huwa natamani hata kutukana basi tu.
Mwanaume asiyejiamini ndio yupoje mpenzi wanguIpo mkuu.na inaendelea. Maneno yakiumba poa tu ila wanaume wasiojiamini sitaki. Usumbufu usio na maana hapana.
Kama ni kitu cha haraka si upige unatumaje sms na ww
isije ikawa ile ya "Bby nkwambie kitu" tutaendelea kulaumiana mpaka awamu ya bwana stone ipite!
u must be fully grown, i like the fact!Nikitaka kukupiga kibomu naenda straight to the point. Hayo mambo ya watoto.
Hao walikuweza kweli madam
Asante kwa comment yako ya kuelimisha boss kiukweli hiyo mambo ya backup mimi sielewagi..Please tell us moreKwa wale tunaotumia simu za kisasa.Kama unatumia Play store na Gmail account tujitahidi sana Ku back Up contacts.Both kwenye whatsapp na Phone.Mwanzo ilinisumbua sana hiyo kitu ya kupoteza namba hasa za watu muhimu sana.Miaka kadhaa sasa sipati tena hiyo shida.Na hata naowapigia kama ataniuliza nani basi nikijua nina mawasiliano naye.Nachukua nafasi ya kumwelekeza hizo njia za kutunza majina na kumbukumbu.
Ila tabia zingine ni watu tu ku ignore,..hizo mobile phones ni msaada mkubwa sana.Kuna tuliokolewa na matukio mazito ..mtu anakupigia anakwambia toka ulipo hapo haraka sana na kweli ingekuwa unapuuzia puuzia unaajikuta umekutwaa.Maana ya simu ya mkononi ni kubwa sana kwa kweli.Ila sisi tu na vitabia tabia vya ajabu.kama mtoa mada alivyosema.Tutumie simu vyema kwa wakati na mazingira sahihi.