Watumiaji wa simu - mambo yanayokera

Watumiaji wa simu - mambo yanayokera

Si unajua kuna madhara ukicheza dana dana na bomu la mkononi! Huko kuuliza umekula hahah labda kuwe na mpango wa kutuma pesa! Maana wachumba wa Dar hawana dogo yani
Inabidi uwe uko full ndio uanze uchokozi wa hivyo haha
 
Kuna mambo huwa nachukulia kama dharau tu kwakweli, kumtumia mtu text inayohitaji majibu ya haraka then anakuja kukujibu baada ya siku 5, huwa natamani hata kutukana basi tu.
Kama ni kitu cha haraka si upige unatumaje sms na ww
 
Namba 4 kuna mtu juzi kapanick. Kisa kumuuliza "nani mwenzangu?" Whatsapp.

Nimeona kama unaniongelea mimi vile.

Usawa huu wa wasiojulikana kila kona na watu tunabadilisha simu kila mwaka, ikitika Galaxy Note 9 sie tunataka Galaxy Note 10, kukuuliza mtu ambaye hatuna mawasiliano ya kila siku "nani mwenzangu" unaona tabu?
 
Kwa wale tunaotumia simu za kisasa.Kama unatumia Play store na Gmail account tujitahidi sana Ku back Up contacts.Both kwenye whatsapp na Phone.Mwanzo ilinisumbua sana hiyo kitu ya kupoteza namba hasa za watu muhimu sana.Miaka kadhaa sasa sipati tena hiyo shida.Na hata naowapigia kama ataniuliza nani basi nikijua nina mawasiliano naye.Nachukua nafasi ya kumwelekeza hizo njia za kutunza majina na kumbukumbu.
Ila tabia zingine ni watu tu ku ignore,..hizo mobile phones ni msaada mkubwa sana.Kuna tuliokolewa na matukio mazito ..mtu anakupigia anakwambia toka ulipo hapo haraka sana na kweli ingekuwa unapuuzia puuzia unaajikuta umekutwaa.Maana ya simu ya mkononi ni kubwa sana kwa kweli.Ila sisi tu na vitabia tabia vya ajabu.kama mtoa mada alivyosema.Tutumie simu vyema kwa wakati na mazingira sahihi.
 
Asante kwa comment yako ya kuelimisha boss kiukweli hiyo mambo ya backup mimi sielewagi..Please tell us more
 
Back
Top Bottom