Watumiaji wa Whatsapp Status watakuwa na uwezo wa kuweka video ya dakika 1

Arnold Kalikawe

Senior Member
Joined
Sep 28, 2016
Posts
152
Reaction score
374
WhatsApp imeanza kufanya majaribio ya kuongeza urefu wa video ambayo mtu anaweza kuweka katika sehemu ya WhatsApp Status.

WhatsApp imeanza kuweka limit ya dakika 1 (sekunde 60) katika video za WhatsApp Status. Kwa kawaida limit yake ni sekunde 30!

Majaribio haya yameanza kwa watumiaji wa Android.
 
Wenzao kule Telegram unaweza kuweka series ya 24 hours seasons zote.
 
WhatsApp imeanza kufanya majaribio ya kuongeza urefu wa video ambayo mtu anaweza kuweka katika sehemu ya WhatsApp Status.

WhatsApp imeanza kuweka limit ya dakika 1 (sekunde 60) katika video za WhatsApp Status. Kwa kawaida limit yake ni sekunde 30!

Majaribio haya yameanza kwa watumiaji wa Android.
Kuna mode flani ya WhatsApp nilikuwa natumia, ilikuwa inaweka status hadi ya dakika 5.
Sema ndio hivo tena wameifunga.
 
Hiyo ni kulingana na aina ya watu uko na contact nao
Mzee issue sio aina ya watu .... imagine nina contact ya HR mmoja Taasis ya kiserikali lakin anapost upuuzi mno ...wengi nimeamua ku mute tuu isiwe kesi
 
Back
Top Bottom