zero to hero 199
Member
- Sep 8, 2021
- 55
- 78
Bwana mkubwa kukwazika na mambo ya watu kiasi iko ni mental illness jaribu kujitafakari naamini sio hili tu la watu kuweka status najua kuna mengi unakwazika kuusu watu wasiokuhusu if you want to live free husijihusishe na mambo ya watu yawe mema au mabaya pita kushotoembu tulia bwana mdogo