Watumiaji wa Whatsapp Status watakuwa na uwezo wa kuweka video ya dakika 1

Watumiaji wa Whatsapp Status watakuwa na uwezo wa kuweka video ya dakika 1

Bwana mkubwa kukwazika na mambo ya watu kiasi iko ni mental illness jaribu kujitafakari naamini sio hili tu la watu kuweka status najua kuna mengi unakwazika kuusu watu wasiokuhusu if you want to live free husijihusishe na mambo ya watu yawe mema au mabaya pita kushoto
Naona umedhamiria.. unaandika gazeti kama kule statuz[emoji3][emoji3]
 
Walete mabadiliko mengi kama vile ilivyokuwa GB WHATSAPP na siyo mabadiliko kidogo kidogo yanayo chukua miaka na miaka, mbona Gbwhatsap mambo yalikuwa safi ndani ya muda mfupi sana.
Wazungu ndivyo walivyo linapokuja swala la software wako slow sana kuleta updates za maana, ona china softwares zao zipo simplified ma zina mambo mengi mnooo, angalia pia Telegram, kuna mtu leo angeamini telegram ingekuja kuwa na watumiaji wengi kiasi hiki, na amini usiamini WHATSAPP inaenda kuzidiwa lwa watumiaji wengi Na TELEGRAM.

Whatsapp ipo nyuma sanaaa yani
WhatsApp imeanza kufanya majaribio ya kuongeza urefu wa video ambayo mtu anaweza kuweka katika sehemu ya WhatsApp Status.

WhatsApp imeanza kuweka limit ya dakika 1 (sekunde 60) katika video za WhatsApp Status. Kwa kawaida limit yake ni sekunde 30!

Majaribio haya yameanza kwa watumiaji wa Android.
 
Now days WhatsApp status kwenye list ya contacts zangu naona hakuna cha maana aisee ni memes ...video za kipuuzi tuu...kuna wale wanaweka status mpk inakua vidoti
[emoji23][emoji23][emoji23] na sasahiv wamewekewa sekunde 60 mbona itakua balaa..
 
[emoji23][emoji23][emoji23] na sasahiv wamewekewa sekunde 60 mbona itakua balaa..
Aiseee yani ni ku mute tuu mana hakuna cha maana kama hutaki kumaliza MB zako bora watu uwa mute maana ukiangalia every single day mtu anapost memes zinafika mpaka ike cycle inakua vi nukta
 
Back
Top Bottom