Arnold Kalikawe
Senior Member
- Sep 28, 2016
- 152
- 374
Wenzao kule Telegram unaweza kuweka series ya 24 hours seasons zote.WhatsApp imeanza kufanya majaribio ya kuongeza urefu wa video ambayo mtu anaweza kuweka katika sehemu ya WhatsApp Status.
WhatsApp imeanza kuweka limit ya dakika 1 (sekunde 60) katika video za WhatsApp Status. Kwa kawaida limit yake ni sekunde 30!
Majaribio haya yameanza kwa watumiaji wa Android.
Nina mmoja ana tabia ya kuweka dots, sijui mgonjwa wa akili yule dadaNow days WhatsApp status kwenye list ya contacts zangu naona hakuna cha maana aisee ni memes ...video za kipuuzi tuu...kuna wale wanaweka status mpk inakua vidoti
Hiyo ni kulingana na aina ya watu uko na contact naoNow days WhatsApp status kwenye list ya contacts zangu naona hakuna cha maana aisee ni memes ...video za kipuuzi tuu...kuna wale wanaweka status mpk inakua vidoti
Kuna mode flani ya WhatsApp nilikuwa natumia, ilikuwa inaweka status hadi ya dakika 5.WhatsApp imeanza kufanya majaribio ya kuongeza urefu wa video ambayo mtu anaweza kuweka katika sehemu ya WhatsApp Status.
WhatsApp imeanza kuweka limit ya dakika 1 (sekunde 60) katika video za WhatsApp Status. Kwa kawaida limit yake ni sekunde 30!
Majaribio haya yameanza kwa watumiaji wa Android.
Hawa sio wazima ...ukimwambia atakutukana kwa jazba nyingi sanaNina mmoja ana tabia ya kuweka dots, sijui mgonjwa wa akili yule dada
Mzee issue sio aina ya watu .... imagine nina contact ya HR mmoja Taasis ya kiserikali lakin anapost upuuzi mno ...wengi nimeamua ku mute tuu isiwe kesiHiyo ni kulingana na aina ya watu uko na contact nao
Huoni kama wewe ndio sio mzima mtu simu yake bando lake wewe unaumia nini? Kama inakukwaza kaa kmya acha kuwafatilia maisha ya watu alafu kama wewe uweki sio ndo nawengine wasiwekeHawa sio wazima ...ukimwambia atakutukana kwa jazba nyingi sana
unaangaika kumwambia wa nini dawa unakuwa hau view status zake.Hawa sio wazima ...ukimwambia atakutukana kwa jazba nyingi sana
Hivi hua wanahisi Kuna mtu ataangalia vidoti karibia elfu kumi huko khaaaaNow days WhatsApp status kwenye list ya contacts zangu naona hakuna cha maana aisee ni memes ...video za kipuuzi tuu...kuna wale wanaweka status mpk inakua vidoti
embu tulia bwana mdogoHuoni kama wewe ndio sio mzima mtu simu yake bando lake wewe unaumia nini? Kama inakukwaza kaa kmya acha kuwafatilia maisha ya watu alafu kama wewe uweki sio ndo nawengine wasiweke
Wewe ni mmoja wapo nini?unaangaika kumwambia wa nini dawa unakuwa hau view status zake.
Nime mute Contacts kibaoHivi hua wanahisi Kuna mtu ataangalia vidoti karibia elfu kumi huko khaaaa
Watu wa hivyo unazimuteNow days WhatsApp status kwenye list ya contacts zangu naona hakuna cha maana aisee ni memes ...video za kipuuzi tuu...kuna wale wanaweka status mpk inakua vidoti
mimi huwa siweki status nyingi.....ila napost chochote ntakachoamuaWewe ni mmoja wapo nini?