Duh hatari sana kwakweli inamana imefungiwa kabisa, ila katika bidhaa za meta iliobora kidogo ni IG tu. Mkuu hivi kuna app nyingine ambaye inafanana na whatsapp?Wanaipenda TikTok kuliko products zake wanadai yeye ndiye aliyefitini TikTok ifungwe ili abaki yeye
Story ya mjusi ni ndefu sana.Duh sasa kwanini wamuite mjusi kisa kuchukia mitandao yake.
Telegram ina fanana sana na WhatsAppDuh hatari sana kwakweli inamana imefungiwa kabisa, ila katika bidhaa za meta iliobora kidogo ni IG tu. Mkuu hivi kuna app nyingine ambaye inafanana na whatsapp?
Thank chiefNikweli mkuu, zipo mbili kuna Telegram na Signal
ThanksNikweli mkuu, zipo mbili kuna Telegram na Signal
Dah kuna mambo yana ukakasi sana kweli nimerudi nimetizama baadhi ya picha za huyu mtaalam wa meta aisee yale macho yamekaa ki namna flani hivi ambayo sio kawaida.Story ya mjusi ni ndefu sana.
Kuna conspiracy theory kwamba kuna mijusi ambayo imejibadilisha kuonekana kuwa watu, na mijusi hiyo ndiyo inai control dunia.
Kwa habari zaidi anzia hapa.
Hahaa. Washakuchota naona.Dah kuna mambo yana ukakasi sana kweli nimerudi nimetizama baadhi ya picha za huyu mtaalam wa meta aisee yale macho yamekaa ki namna flani hivi ambayo sio kawaida.
Hawa watu jamii ya lizard mbona wanahusishwa na illuminati,, ambapo George w Bush anahusishwa na illuminati pengine ni kweli na sio masimulizi ya kupita huyu George Bush wanasema ni mwanachama wa skull ☠️ and bones nadhani pia kwa huko U. S. A hata masonic temple zipo available so unaweza kuwa unajua vizur kama ni conspiracy theories au la.Hahaa. Washakuchota naona.
Hizo ni stories za Conspiracy Theories tu.
Kuna wakati wa urais wa George W. Bush huku watu walikuwa wanaamini kabisa "George W. Bush is a lizard".
Mkuu,Hawa watu jamii ya lizard mbona wanahusishwa na illuminati,, ambapo George w Bush anahusishwa na illuminati pengine ni kweli na sio masimulizi ya kupita huyu George Bush wanasema ni mwanachama wa skull ☠️ and bones nadhani pia kwa huko U. S. A hata masonic temple zipo available so unaweza kuwa unajua vizur kama ni conspiracy theories au la.