Watumiaji wengi wa TikTok Marekani wamemtusi Mark Zuckerberg kwa kumuita mjusi wakidai yeye ndiye mfitini mkubwa wa TikTok kufungiwa

wazungu wasio na kazi hao kutwa Zima kuangalia afrikan
dancers

waende wakaruke viboreni na rungjam kama ticha PAGOMA , wa kagera tanzania
 
Mkuu,

Na wewe unaamini George W. Bush na Mark Zuckerberg ni lizards? 😂😂😂
Mkuu wanaweza kuwa kuwa lizard hawa jamaa ila sio kwamba watakua lizard full hapana ila wanaweza kuwa na viashilia vya lizard baadhi kama hayo macho yao na pengine labda hata mwilini wanaweza kuwa hata na mabaka mabaka ya ki reptile basi tu hatuyachunguzi haya ma mtu katika human form.
 
Duh hatari sana kwakweli inamana imefungiwa kabisa, ila katika bidhaa za meta iliobora kidogo ni IG tu. Mkuu hivi kuna app nyingine ambaye inafanana na whatsapp?
App nyingine inayofanana na whatsapp ni telegram ambayo imefungiwa baadhi ya nchi so meta wataitumia tu hata kama wasipotumia facebook watatumia whatsapp na IG
 
Vipi kuhusu signal kuna mdau kasema ipo vizuri kwa matumizi kama what'sapp
 
Hiyo signal ina watumiaji milion 300+ ila whatsapp ina watumiaji 4billion +

Ila iyo signal sijawahi kuitumia maana sio popular sana hapa tz
 
Mkuu wanaweza kuwa kuwa lizard hawa jamaa ila sio kwamba watakua lizard full hapana ila wanaweza kuwa na viashilia vya lizard baadhi kama hayo macho yao na pengine labda hata mwilini wanaweza kuwa hata na mabaka mabaka ya ki reptile basi tu hatuyachunguzi haya ma mtu katika human form.
Kwani mtu hawezi juwa na macho ya hivyo kwa sababu nyingine tu, lazima akiwa na macho ya hivyo awe lizard?
 
Watarudi tu, products za Meta ni kama maji, usipoyanywa atayaoga au kufulia.
Huko kwao sio kama kwetu machaguo ni mengi zaidi.....huku sie tunafata trend kule pameendaje ila kule wao ndo wana set trend,,, BlackBerry na bbm yake alipotea sembuse huyo,,hata wakina Nokia
 
  • Thanks
Reactions: K11
Hiyo signal ina watumiaji milion 300+ ila whatsapp ina watumiaji 4billion +

Ila iyo signal sijawahi kuitumia maana sio popular sana hapa tz
Hizo kwa watu wao na circle yao watakua wanazao
 
Hiyo signal ina watumiaji milion 300+ ila whatsapp ina watumiaji 4billion +

Ila iyo signal sijawahi kuitumia maana sio popular sana hapa tz
Ooh oky mkuu tunatafta mbadala wa whatsapp tu hakuna ku base kwa meta products tu huyu Zuckerberg anataka kutupanda kichwani kwanza ni mjusi 😂😂😂
 
Kwani mtu hawezi juwa na macho ya hivyo kwa sababu nyingine tu, lazima akiwa na macho ya hivyo awe lizard?
😀😀😀 Ni kweli kuna watu unakuta ana macho kama ya paka, ila huyu Zuckerberg rumors za kuwa mjusi zimeanza zamani sana mkuu sasa wanakuja wanakumuhusisha na jamaa flani hivi kuwa ni kiini cha zile 13 family zinazo run dunia kwa kivuli aah aya mambo mbona kama yanakuwa mengi sana
 
Ooh oky mkuu tunatafta mbadala wa whatsapp tu hakuna ku base kwa meta products tu huyu Zuckerberg anataka kutupanda kichwani kwanza ni mjusi 😂😂😂
Hahaha eti mjusi

sawa mbadala wa whatsapp ni kama

-We chat hii sana sana inatumika china

-Signal hii sio popular sana

-Telgram hii imefungiwa baadhi ya nchi kutokana na maudhui yasiyofaa

-viber

-slack
 
😀😀😀 Ni kweli kuna watu unakuta ana macho kama ya paka, ila huyu Zuckerberg rumors za kuwa mjusi zimeanza zamani sana mkuu sasa wanakuja wanakumuhusisha na jamaa flani hivi kuwa ni kiini cha zile 13 family zinazo run dunia kwa kivuli aah aya mambo mbona kama yanakuwa mengi sana
Kwani rumours zikianza zamani lazima ziwe kweli?
 
Ooh oky mkuu tunatafta mbadala wa whatsapp tu hakuna ku base kwa meta products tu huyu Zuckerberg anataka kutupanda kichwani kwanza ni mjusi 😂😂😂
Mark ni mshamba tajiri mwenye fitna kama mtoto wa kike
Signal ndo mbadala
 
Back
Top Bottom