kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Mkuu wanaweza kuwa kuwa lizard hawa jamaa ila sio kwamba watakua lizard full hapana ila wanaweza kuwa na viashilia vya lizard baadhi kama hayo macho yao na pengine labda hata mwilini wanaweza kuwa hata na mabaka mabaka ya ki reptile basi tu hatuyachunguzi haya ma mtu katika human form.Mkuu,
Na wewe unaamini George W. Bush na Mark Zuckerberg ni lizards? πππ
App nyingine inayofanana na whatsapp ni telegram ambayo imefungiwa baadhi ya nchi so meta wataitumia tu hata kama wasipotumia facebook watatumia whatsapp na IGDuh hatari sana kwakweli inamana imefungiwa kabisa, ila katika bidhaa za meta iliobora kidogo ni IG tu. Mkuu hivi kuna app nyingine ambaye inafanana na whatsapp?
Vipi kuhusu signal kuna mdau kasema ipo vizuri kwa matumizi kama what'sappApp nyingine inayofanana na whatsapp ni telegram ambayo imefungiwa baadhi ya nchi so meta wataitumia tu hata kama wasipotumia facebook watatumia whatsapp na IG
Hiyo signal ina watumiaji milion 300+ ila whatsapp ina watumiaji 4billion +Vipi kuhusu signal kuna mdau kasema ipo vizuri kwa matumizi kama what'sapp
Kwani mtu hawezi juwa na macho ya hivyo kwa sababu nyingine tu, lazima akiwa na macho ya hivyo awe lizard?Mkuu wanaweza kuwa kuwa lizard hawa jamaa ila sio kwamba watakua lizard full hapana ila wanaweza kuwa na viashilia vya lizard baadhi kama hayo macho yao na pengine labda hata mwilini wanaweza kuwa hata na mabaka mabaka ya ki reptile basi tu hatuyachunguzi haya ma mtu katika human form.
Huko kwao sio kama kwetu machaguo ni mengi zaidi.....huku sie tunafata trend kule pameendaje ila kule wao ndo wana set trend,,, BlackBerry na bbm yake alipotea sembuse huyo,,hata wakina NokiaWatarudi tu, products za Meta ni kama maji, usipoyanywa atayaoga au kufulia.
Hizo kwa watu wao na circle yao watakua wanazaoHiyo signal ina watumiaji milion 300+ ila whatsapp ina watumiaji 4billion +
Ila iyo signal sijawahi kuitumia maana sio popular sana hapa tz
Ooh oky mkuu tunatafta mbadala wa whatsapp tu hakuna ku base kwa meta products tu huyu Zuckerberg anataka kutupanda kichwani kwanza ni mjusi πππHiyo signal ina watumiaji milion 300+ ila whatsapp ina watumiaji 4billion +
Ila iyo signal sijawahi kuitumia maana sio popular sana hapa tz
πππ Ni kweli kuna watu unakuta ana macho kama ya paka, ila huyu Zuckerberg rumors za kuwa mjusi zimeanza zamani sana mkuu sasa wanakuja wanakumuhusisha na jamaa flani hivi kuwa ni kiini cha zile 13 family zinazo run dunia kwa kivuli aah aya mambo mbona kama yanakuwa mengi sanaKwani mtu hawezi juwa na macho ya hivyo kwa sababu nyingine tu, lazima akiwa na macho ya hivyo awe lizard?
Hahaha eti mjusiOoh oky mkuu tunatafta mbadala wa whatsapp tu hakuna ku base kwa meta products tu huyu Zuckerberg anataka kutupanda kichwani kwanza ni mjusi πππ
Kwani rumours zikianza zamani lazima ziwe kweli?πππ Ni kweli kuna watu unakuta ana macho kama ya paka, ila huyu Zuckerberg rumors za kuwa mjusi zimeanza zamani sana mkuu sasa wanakuja wanakumuhusisha na jamaa flani hivi kuwa ni kiini cha zile 13 family zinazo run dunia kwa kivuli aah aya mambo mbona kama yanakuwa mengi sana