Watumiaji wenye matumizi makubwa ya Internet nawaomba kidogo/Heavy Internet users

TTCL internet yao ya adsl imepitwa na wakati(ya kutumia simu ya mezani), wanatakiwa waanze kusambaza fiber kama wenzao, na miundombinu ipo ni uamuzi tu. kama halotel wameweza sidhani kama wao watashindwa
TTCL to inject Sh40 billion in ‘home’ internet rollout

Hii ilikuwa 2018...Na ile project ya Mawazili ni FIBER ni zao lake.

Dar es Salaam. TTCL Corporation plans to invest over Sh40 billion in project to rollout its internet service across all major cities in the country, the company has said.

The corporation is currently rolling out its ‘Fiber Connect Bundle’ to clients’ houses in a three-month pilot project that started earlier this month (February), according to the corporation’s chief executive office.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
big-diamond,
mkuu hii fiber ni backbone na sio service za majumbani, majumbani inakuja kama Wifi na bei yake ni pasua kichwa, inaanzia laki 2 mpaka 3. niliiona hii walizindua hadi znz.

makampuni yote ya fiber makubwa TZ kama zuku, raha, home faiba etc wana vifurushi mpaka chini ya 70,000 kwa 10mbps ambayo kama hustream 4k inafanya mambo almost yote.

mambo ya wifi wangeyapeleka uswahilini ambako hakuna ramani, sehemu nyumba ambazo zipo vizuri kwa mpangilio wangeeka fiber kama wenzao.
 
Naomba kuuliza. Hiyo 180 $ ni kwa mwezi huko Liquidini ?
 
sawa kabisa Zuku ndo safi shida haijasambaa sana ipo mwisho kinondoni tena haivuki kawawa road
ofisini awali walikuwa wanatumia voda nikawashauri tuunge zuku 7bu eneo iliopo ofisi zuku ipo ila hapo awali hawakujua kabisa ubora wa zuku speed nzuri gharama nafuu hvyo hata mm mchana kutwa natumia zuku sema kwa kuwa sishindi sana hapo kwa ofisi huwa nikiwa misele natumoa tigo
ila nikiwa home kwa PC natumia HALOTEL ndo mkomboz usiku
km nikiwa misele ya kawaida mitaan sina namna natumia tigo naunga elf 10 gb 6 na madakika yake mwenzi
kwa matumizi ya simu inasukuma wiki 7bu sio mpenz sana wa VIDEO STREAMING
hapo awali wkt tigo internet bei juu nilikuwa naunga elf 5 halotel g 7 wiki

hvyi ukiwa home sema ndo hvyo usiku kuanzia saa 6 mpk saa 12 tumia halotel

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. device (pc)

matumizi ni mengi ila kwa siku natumia si chini ya 50GB - 100GB ikitokea

nimefungua ofisi nusu siku,ila kwa Full Day nikicheza rough zangu

zote natumia 130gb - 150gb PER DAY.
Dah mkuu 1megabit (Mb) = 0.125 Megabyte (MB)

Hivyo vifurushi vimepimwa kwa megabits, sasa bashindwa kujua kama umechanganya mafaili au umetupikia chai maana numbers never lie.

5Mbps = 750 kilobyte kwa sekunde, hapo ukishusha mzigo ni kama mb 40 kwa dakika ambayo ni GB 2.4 kwa saa, na hata ukisema utumie internet masaa 24 basi huvuki GB 60, kwa mantiki ya kawaida pc hutumika at most masaa 12 hivyo ni kama GB 30 tu ila kuna wazee naonaga wanakesha na pc.

Twende sambamba Chief-Mkwawa . ongezea lako mkuu
 
Tufanye nimewapikia chai,mimi sinaga Muda kumuelekeza mtu

kitu ninachofanya maana hakiwezi kukusaidia kwa namna yeyote ile.
 
Hapo nimekuelewa sana chief,naomba nisaidie kunitajia simu walau 3 unazozikubali

ambazo unaamini kbsa zinaweza kunifaa,nitajie brand yyte (isiwe iphone) halafu mwisho

tumalizie kwenye hawa Halotel wenyewe,ni laini gani hiyo na ni kifurushi kipi ambacho ntajiunga

cha kuweza nipatia hizo unlimited,laini ni yeyote tu hz zinazopatkana kwa mawakala mitaani

au kuna special line ambazo zinakua na hizo ofa,na upatikanaji wake upo vipi?
 
Hao jamaa wa Liquid Telecom wana fibre optic network accross Africa nzima.....From Cape Town to Cairo. Mojawapo ya makampuni yaliyochini ya bwana Strive Masiyiwa. Hapa Bongo waliinunua kampuni ya Raha.
Hawa watu sio wa mchezo mchezo,wanajua nini wanafanya ktk hii kazi yao.
 
Hii Halotel ni kwa line zote au ni zile za chuo tu na baadhi baadhi?
 
Uwezo wanao sana ila ni uzembe na kukosekana mtu wa kuwapeleka kama Punda

Bila kupigiwa kelele haya makampuni ya serikali,utendaji wao ni ZERO wanafanya kazi

Pale tu watakapohisi mwezi ujao kuna tamasha/ukaguzi/uzinduzi,nk nk ila after hapo wanalala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…