Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Sio lazima utumie router ya Halotel na pia sikushauri kujifungia mtandao mmoja, mitandao yetu hii haitabiriki, na kila mara vifurushi vinabadilika.Halotel Router zao wanaziuzaje kwani na zinapatikana kwa sasa?
kununua router za kampuni sio ndio kufunga NDOA ya mkeka bila shehe hii?
ukitoa router za halotel hamna mahali zinapatikana router zenye simcard slot
ambazo unaipachika line yenye MB unaendelea kuserereka tu? au ni lazima
ukinunua hizi router nilizotaja n lazima niwe na Moderm pia kama source ya net?
Na router hizi za mitandao hutumii modem zinakuwa na sehemu ya kuweka line. Unaweka line tu na kutumia.
Na router zinazotumia line za mitandao yote zipo nyingi sana sema tu hakikisha ina band 2600 ya Halotel na ina lte advance. Band 800 na 1800 mara nyingi ni yeboyebo zinapatikana karibia router zote.
Ukifika dukani ama kwa muuzaji just google model ya hio router utaona details zote.