Watumiaji wenye matumizi makubwa ya Internet nawaomba kidogo/Heavy Internet users

Itabidi nihamie mtaa zuku inapita.

Mambo mazuri haya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibuni huu mtaa tumeshazoea maumivu yamekua part ya maisha yetu
 
Aiseeeee hali si hali inabidi nifukunyue haya ma files maana hali si hali huku Tanzania bara, wenzetu wa visiwani huko kwa mama ndogo sijui kama mambo yako hivi

Inaitwaje hii huduma na package zake zipoje ki MB's
Wakati huu nilikuwa sehemu tofauti na Tanzania yenye kuwezesha huduma hii. Kwa sasa nikienda sana ni 16 MBPS,.
 
kadiri maendeleo ya technology nanavyosonga mbele sisi ndio tuazidi kuongeza gharama kwenye masuala kama haya
Ukikubali kupanga tandale kubaliana tu na mazingira ya ile mitaa otherwise hamia masaki

Umeshakua mtanzania nchi ya watu wala hauna haja yakulalama mkuu,mezea tu ndio Maza house kashaamua ufanye usafi chooni,utafanya tu.
 
At that time ilikuwa Swisscom na this time ni Vodacom.
Voda hii hiii ana ni nyingine, hiyo si kama app ya android. Maana kuna app moja nilikuwa naitumia kipind flani wao ukikilipia subscriptions unayotaka inakupa access ya internet

Na hii iko hivyo au
 
Voda hii hiii ana ni nyingine, hiyo si kama app ya android. Maana kuna app moja nilikuwa naitumia kipind flani wao ukikilipia subscriptions unayotaka inakupa access ya internet

Na hii iko hivyo au
Whaaat! Ulilipia app ukapata DATA? By the way hiyo katika picha ni kipimo cha speed.
 
Whaaat! Ulilipia app ukapata DATA? By the way hiyo katika picha ni kipimo cha speed.
Kuna jamaa flani wana site yao ambayo wana toa internet service sasa ukilipia kifurushi chochote inakubid u download app yao ndio upate access ya internet
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…