Katibu Tawala Mkoa wa Songwe Bi. Happiness Seneda, amewataka watumishi wote mkoani humo kuhakikisha wanashiriki zoezi la kupiga kura ili kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa kwenye maeneo yao, kwani Serikali imetenga siku hii kuwa mapunziko kwa ajili ya zoezi hilo na sio vinginevyo na baada ya zoezi hilo utafanyika ukaguzi wa rangi kwenye kidole ili kuwabaini wale wote ambao hawakushiriki.

she is very right,
lazima wote watakaothibitika kutokupiga kura wachukuliwe hatua za kinidhamu ili iwe fundisho..
watu kama hao ni muhimu wastaafishwe mapema kwa lazima. huo ni utovu wa nidhamu na uhujumu demokrasia wa kuwango cha juu sana, usio vumilika...
Katibu Tawala Mkoa wa Songwe Bi. Happiness Seneda, amewataka watumishi wote mkoani humo kuhakikisha wanashiriki zoezi la kupiga kura ili kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa kwenye maeneo yao, kwani Serikali imetenga siku hii kuwa mapunziko kwa ajili ya zoezi hilo na sio vinginevyo na baada ya zoezi hilo utafanyika ukaguzi wa rangi kwenye kidole ili kuwabaini wale wote ambao hawakushiriki.
Katibu Tawala Mkoa wa Songwe Bi. Happiness Seneda, amewataka watumishi wote mkoani humo kuhakikisha wanashiriki zoezi la kupiga kura ili kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa kwenye maeneo yao, kwani Serikali imetenga siku hii kuwa mapunziko kwa ajili ya zoezi hilo na sio vinginevyo na baada ya zoezi hilo utafanyika ukaguzi wa rangi kwenye kidole ili kuwabaini wale wote ambao hawakushiriki.
Watumishi wa umma hii nchi wanashida sana daaah. Mtu anaamka tu na komwe lake anaanza kutoa matamko ya kipuuzi. πππ ubaya na mkoa wenyewe Songwe lazima watumishi watakiona