LGE2024 Watumishi ambao hawajapiga kura kukiona Songwe, watakaguliwa kama wana wino

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Hilo ndio tatizo kubwa la viongozi wetu,kupewa mamlaka tu kidogo tayari anajiona Mungu,huyu ni kiongozi kilaza Tena asiye jitambua,lini na wapi kuchagua likawa jambo la lazima?
 
Wakuu,

Oneni huyu mpuuzi!

View attachment 3163389

Katibu Tawala Mkoa wa Songwe Bi. Happiness Seneda, amewataka watumishi wote mkoani humo kuhakikisha wanashiriki zoezi la kupiga kura ili kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa kwenye maeneo yao, kwani Serikali imetenga siku hii kuwa mapunziko kwa ajili ya zoezi hilo na sio vinginevyo na baada ya zoezi hilo utafanyika ukaguzi wa rangi kwenye kidole ili kuwabaini wale wote ambao hawakushiriki.
Wino unatoka hata kwa maji bila sabuni. 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kenge maji wewe.
Unafikiri mtumishi wa umma anafukuxwa au kustaafishwa kama unavyofukuza mume wako?
Umchukulie hatua za kinizamu kwa sheria/kanuni na mwongozo upi?
Sema hao watumishi wenyewe tu ni mabuyu kichwani
we nyumbu wacha kukurupuka basi,

tuliza kipago basi ushuhudie matokeo ya mizaha yao kwenye mambo ya msingi ya kitaifa :pulpTRAVOLTA:
 
Wakuu,

Oneni huyu mpuuzi!

View attachment 3163389

Katibu Tawala Mkoa wa Songwe Bi. Happiness Seneda, amewataka watumishi wote mkoani humo kuhakikisha wanashiriki zoezi la kupiga kura ili kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa kwenye maeneo yao, kwani Serikali imetenga siku hii kuwa mapunziko kwa ajili ya zoezi hilo na sio vinginevyo na baada ya zoezi hilo utafanyika ukaguzi wa rangi kwenye kidole ili kuwabaini wale wote ambao hawakushiriki.
Tukianza kuelekea huko basi huenda mambo yakaharibika hapo baadae.
 
Wakuu,

Oneni huyu mpuuzi!

View attachment 3163389

Katibu Tawala Mkoa wa Songwe Bi. Happiness Seneda, amewataka watumishi wote mkoani humo kuhakikisha wanashiriki zoezi la kupiga kura ili kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa kwenye maeneo yao, kwani Serikali imetenga siku hii kuwa mapunziko kwa ajili ya zoezi hilo na sio vinginevyo na baada ya zoezi hilo utafanyika ukaguzi wa rangi kwenye kidole ili kuwabaini wale wote ambao hawakushiriki.
Wengi wa watumishi tumepiga kura ila tumechagua upinzan
 
Attachments

  • 1732721670920.jpeg
    1732721670920.jpeg
    86.7 KB · Views: 4
🤣🤣🤣🤣 umenichekesha kuhusu waalimu, these are the most hopeless people kabisa under this Tanzania universe. Huwa wanaishiwa kutumika tu. Halafu wana the same thinking capacity!
Mimi kwa ujeuri wangu nisinge andika barua Wala kukaguliwa kidole..

Ningemwambia anipeleke mahakamani nikashtakiwe..maana huo muongozo anao utoa kwangu hauna mashiko.

Hamasisha watu wakapige kura sio kuwapa vitisho na makaripio yasiyo na mashiko.
 
Wakuu,

Oneni huyu mpuuzi!

View attachment 3163389

Katibu Tawala Mkoa wa Songwe Bi. Happiness Seneda, amewataka watumishi wote mkoani humo kuhakikisha wanashiriki zoezi la kupiga kura ili kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa kwenye maeneo yao, kwani Serikali imetenga siku hii kuwa mapunziko kwa ajili ya zoezi hilo na sio vinginevyo na baada ya zoezi hilo utafanyika ukaguzi wa rangi kwenye kidole ili kuwabaini wale wote ambao hawakushiriki.
Sasa wwote wakija na wino ndiyo ushahidi kuwa walienda kupiga kura. ? Anajielewa kweli huyu RAS?
 
Wengi wa watumishi tumepiga kura ila tumechagua upinzani
Utafukuzwa kazi... Hii issue ibakie kua Siri yako.. Jokes

Umenikumbusha kipindi flani bungeni

Wana CCM walipiga kura za wazi na za Siri....ndugu spika alipo ona wabunge wengi wanang'ang'ania kura za Siri

CCM hutaka kura za wazi sababu wawajue wanao wapinga so wawashuhurikie..
 
Kila mwenye Mamlaka huwa wanapenda kuyatumia kwa watumishi esp wa Halmashauri
 
Attachments

  • Screenshot_20241127_202427_Instagram.jpg
    Screenshot_20241127_202427_Instagram.jpg
    223.2 KB · Views: 4
Back
Top Bottom