LGE2024 Watumishi ambao hawajapiga kura kukiona Songwe, watakaguliwa kama wana wino

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Ona hili Lopolopo..
 
Ina maana kila Mtanzania lazima ashiriki mambo ya siasa?
 
Hiyo rahisi sana. Unanunua wino unapaka kidoleni. Kuna lingine? Bora hao watumishi wamekwepa uchafuzi.
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Unatia huruma kweli mkuu...tumia hata mwiko
 
Kukaguana vidole?...hahaha..
Hakika watu wamechanganyikiwa...ipo siku watu watakaguliwa kama wamevaa chupi
 
Madaraka hulevya..

Sasa wino si unanunua stationary..anajisahau Sanaa huyo dada.
 
Kupiga kura ni kama masuala ya chanjo ya korona...ni hiari, ilitakiwa ushawishi ndio utumike zaidi
Uyo dada ana akili finyu Sanaa je kwa kifungu kipi atatumia kuwawajibisha hao watumishi..

Ila kwa WAALIMU huswagwa Kama NYUMBU porini sishangai.
 
Huu ni ushenzi sana. Hii nchi daah WTF
 
Kenge maji wewe.
Unafikiri mtumishi wa umma anafukuxwa au kustaafishwa kama unavyofukuza mume wako?
Umchukulie hatua za kinizamu kwa sheria/kanuni na mwongozo upi?
Sema hao watumishi wenyewe tu ni mabuyu kichwani
 
Uyo dada ana akili finyu Sanaa je kwa kifungu kipi atatumia kuwawajibisha hao watumishi..

Ila kwa WAALIMU huswagwa Kama NYUMBU porini sishangai.
🀣🀣🀣🀣 umenichekesha kuhusu waalimu, these are the most hopeless people kabisa under this Tanzania universe. Huwa wanaishiwa kutumika tu. Halafu wana the same thinking capacity!
 
Mzee unajitoaga akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…