LGE2024 Watumishi ambao hawajapiga kura kukiona Songwe, watakaguliwa kama wana wino

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Hilo ndio tatizo kubwa la viongozi wetu,kupewa mamlaka tu kidogo tayari anajiona Mungu,huyu ni kiongozi kilaza Tena asiye jitambua,lini na wapi kuchagua likawa jambo la lazima?
 
Wino unatoka hata kwa maji bila sabuni. 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kenge maji wewe.
Unafikiri mtumishi wa umma anafukuxwa au kustaafishwa kama unavyofukuza mume wako?
Umchukulie hatua za kinizamu kwa sheria/kanuni na mwongozo upi?
Sema hao watumishi wenyewe tu ni mabuyu kichwani
we nyumbu wacha kukurupuka basi,

tuliza kipago basi ushuhudie matokeo ya mizaha yao kwenye mambo ya msingi ya kitaifa
 
Tukianza kuelekea huko basi huenda mambo yakaharibika hapo baadae.
 
Wengi wa watumishi tumepiga kura ila tumechagua upinzan
 

Attachments

  • 1732721670920.jpeg
    86.7 KB · Views: 4
🤣🤣🤣🤣 umenichekesha kuhusu waalimu, these are the most hopeless people kabisa under this Tanzania universe. Huwa wanaishiwa kutumika tu. Halafu wana the same thinking capacity!
Mimi kwa ujeuri wangu nisinge andika barua Wala kukaguliwa kidole..

Ningemwambia anipeleke mahakamani nikashtakiwe..maana huo muongozo anao utoa kwangu hauna mashiko.

Hamasisha watu wakapige kura sio kuwapa vitisho na makaripio yasiyo na mashiko.
 
Sasa wwote wakija na wino ndiyo ushahidi kuwa walienda kupiga kura. ? Anajielewa kweli huyu RAS?
 
Wengi wa watumishi tumepiga kura ila tumechagua upinzani
Utafukuzwa kazi... Hii issue ibakie kua Siri yako.. Jokes

Umenikumbusha kipindi flani bungeni

Wana CCM walipiga kura za wazi na za Siri....ndugu spika alipo ona wabunge wengi wanang'ang'ania kura za Siri

CCM hutaka kura za wazi sababu wawajue wanao wapinga so wawashuhurikie..
 
Kila mwenye Mamlaka huwa wanapenda kuyatumia kwa watumishi esp wa Halmashauri
 

Attachments

  • Screenshot_20241127_202427_Instagram.jpg
    223.2 KB · Views: 4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…