KERO Watumishi Halmashauri ya Momba walazimishwa kuhudhuria Sherehe za Muungano kwa gharama zao

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Ndivyo mlivyo ni wajinga haswa.

Nyie ni misukule ya CCM na watawala hii kada ya wapuuzi.
Mimi ni mwalimu na ninafundisha darasa la kwanza la pili na latatu, kwa kifupi nafundisha kusoma kuandika na kuhesabu KKK, ili mkisha jua kuandika na kusoma mje kuandika huku kama wewe, hayo ni matunda ya kazi yangu hii, najivunia bila kujali unaandika nini 😂
 
Mwalimu ambaye hataenda achapwe viboko. Wamesahau wakati wa uchafuzi huwa wanapewa ....... kidogo wanasaliti wananchi kwa kuratibu wizi wa kura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…