KERO Watumishi Halmashauri ya Wilaya ya Siha, ajira ya Julai 2021 bado tunadai mshahara wa kwanza

KERO Watumishi Halmashauri ya Wilaya ya Siha, ajira ya Julai 2021 bado tunadai mshahara wa kwanza

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Baadhi ya watumishi walioajiriwa wilaya ya Siha mwaka 2021, hatukulipwa mshahara wa kwanza wa July 2021.

Imepita miaka minne sasa unaenda mwaka wa tano.

Tumeshaandika sana barua na kujaza fomu za kulipwa mshahara huo lakini hakuna majibu yoyote ya kuridhisha.
 
Mshahara wa kwanza huwa aulipwi kama uliripoti baada ya tarehe ya salary approval kupita mara nyingi huwa tarehe 10_15
 
Tunaomba utusaidie kupaza sauti.Baadhi ya watumishi wa Mkoa wa Kilimanjaro, Wilaya ya Siha walioajiriwa mwaka 2021 mwezi wa saba, hawakupata mshahara wa kwanza wa julai 2021, licha ya kuandika na kujaza fomu za madai lakini hakuna majibu sahihi ni miaka mitano sasa wanafatilia mishahara yao bila matumaini.
 
Back
Top Bottom