Tunaomba utusaidie kupaza sauti.Baadhi ya watumishi wa Mkoa wa Kilimanjaro, Wilaya ya Siha walioajiriwa mwaka 2021 mwezi wa saba, hawakupata mshahara wa kwanza wa julai 2021, licha ya kuandika na kujaza fomu za madai lakini hakuna majibu sahihi ni miaka mitano sasa wanafatilia mishahara yao bila matumaini.