Mzee wa pesa ipo kwenye kikapu kimoja, nitawaongezea Mara dufu kabla sijaondoka, Mara paa, pale palikua na na ubinafsi wakinemeka wachache Wala hakuwapenda hata kidogo.
Alitamka maneno hayo hapo juu akiwa Mbeya au Iringa meimosi, Mie nipo napata juice sehem na kuangalia TBC, aisee nilimuona mtumishi aliekua amekaa chini, moshipa ya shingo imevimba na amekasirika Sana, mwenye clip Kati ya hizo sherehe ajaribu kuangalia, possibly ni Iringa, nilijwa na simanzi sana sana.
Sasa Watumishi wetu wanacholalamika kile mh alisema na kweli nafikili hata barua ya Ikulu ipo, kuonekana inapindishwa na watu wachache either KWa bahati mbaya ,au makusudi Ili kuharibu taswira wa kiongozi wao ambacho kipo wazi
Mfano mtumishi hakuwai pata nyongeza ya mshahara miaka sita ambayo ipo kisheria kabisa kabisa, letsay may be KILA mwaka ungemwongezea elfu 50 na haikufanyika, leo ukimwongezea laki tatu unakua umekwama wapi?
Kwanza unatengeneza jina maana wengi watajua hakuna Kama wewe, kumbe bado upande mwingine ni dhuluma ya miaka sita iliyopita ambayo ilikuastahiki yao, mkaibuka wapambe eti mnajenga uchumi, wakati waujengao ndo hao mwawakandamiza that's Mungu akakataa.
Mwisho, Watendaji wetu hawalalamiki bali wanahoji na ni haki YAKO, watendeeni wenzenu vizuri Kama ambavyo wajitendea nyinyi, Mungu ni mmoja vinginevyo mtapata tabu Sana pamoja na pesa zenu