Watumishi: Hayati Magufuli hakupandisha mishahara mlilalamika, Rais Samia kapandisha mishahara mnalalamika. Hivi mpoje nyie?

Na ndio wanaowasagia wakulima kunguni ili wasipate ongezeko la bei ya mazao kwa kuuza nje.
Ndio maana JK alikataa kura zao kama ingebidi, alishasanuka ni kakindi ka wachawi.
Hahaha......!
 
Watumishi wa Umma nchi hii hawajitambui kabisa

Hayati Magufuli aliwapunguzia kodi ili mishahara yao iboreke wakalamika sana

Leo Rais Samia ameongeza moja kwa moja ile Gross salary bado wanalialia

Nyie watumishi mkoje lakini?

Mnataka nini?!?
Acha upompoma..JPM sawa hakuongeza ila maisha yalikuwa rahisi sana unga wa mahindi ulikua 700 mchele 1500tsh.

Unaongeza 23% maisha mtaani ni 110% halafu unataka watumishi washangilie?

Mleta uzi ebu tumia akili basi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ameongeza sh ngapi? Mtu asilalamike?

Kimsingi mama kawadanganya watumishi wa umma
 
Watumishi wa Umma nchi hii hawajitambui kabisa

Hayati Magufuli aliwapunguzia kodi ili mishahara yao iboreke wakalamika sana

Leo Rais Samia ameongeza moja kwa moja ile Gross salary bado wanalialia

Nyie watumishi mkoje lakini?

Mnataka nini?!?
Anaongez Tsh 20,000 halafu nyuma ya pazia anashirikiana na Vyama vya wafanyakazi wanakata 10,000 unabaki na 10,000.
 
Acha upompoma..JPM sawa hakuongeza ila maisha yalikuwa rahisi sana unga wa mahindi ulikua 700 mchele 1500tsh.

Unaongeza 23% maisha mtaani ni 110% halafu unataka watumishi washangilie?

Mleta uzi ebu tumia akili basi.

#MaendeleoHayanaChama
Mshukuruni Mungu kwa kila jambo
 
Watumishi wa Umma nchi hii hawajitambui kabisa

Hayati Magufuli aliwapunguzia kodi ili mishahara yao iboreke wakalamika sana

Leo Rais Samia ameongeza moja kwa moja ile Gross salary bado wanalialia

Nyie watumishi mkoje lakini?

Mnataka nini?!?
Ww poyoyo kweli nani kakutuma uandike ugoro wako huu.
 
Watumishi wa Umma nchi hii hawajitambui kabisa

Hayati Magufuli aliwapunguzia kodi ili mishahara yao iboreke wakalamika sana

Leo Rais Samia ameongeza moja kwa moja ile Gross salary bado wanalialia

Nyie watumishi mkoje lakini?

Mnataka nini?!?
JPM aliongeza 56100/- tofauti kabisa na huu xcdmavxgd wa mwaka huu
 
Umeangalia salio la NMB au bado unaota ile 23%?
Mkuu ,Mimi mwaka jana nimepanda daraja,mwaka huu mama kaongeza almost 50 elfu kwa mshahara wangu,ukijumlisha daraja na nyongeza napata 200,000+ Nani Kama mama,long live mama samia
 
Back
Top Bottom