KERO Watumishi Huduma za maji ngazi jamii (CBWSO) tunaomba kupewa haki za kiutumishi kama wengine

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Wafanyakazi Chombo cha Watoa Huduma ya Maji Ngazi ya Jamii (CBWSOs) kiukweli tunapitia changamoto nyingi sana kwani tunafanya kazi nyingi usiku na mchana kuhakikisha huduma za maji zinakuwepo

Tunaomba tupewe ajira za kudumu, tupewe haki za kiutumishi kama wengine

Miezi mitatu bila mshahara, bima ya afya hakuna, mikataba hakuna hata kama ni ajira za muda tufikiriwe
 
Hivi ndio nyie wasoma mita na watoa huduma za dharula majumbani kwetu? Mnapiga kazi sana aisee
 
Wafanyakazi Chombo cha Watoa Huduma ya Maji Ngazi ya Jamii (CBWSOs) kiukweli tunapitia changamoto nyingi sana kwani tunafanya kazi nyingi usiku na mchana kuhakikisha huduma za maji zinakuwepo

Tunaomba tupewe ajira za kudumu, tupewe haki za kiutumishi kama wengine

Miezi mitatu bila mshahara, bima ya afya hakuna, mikataba hakuna hata kama ni ajira za muda tufikiriwe
Ondokeni,Juma Aweso alidanganya sana cdos lkn hamna lolote,
 
Back
Top Bottom