huduma za maji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania, Ujerumani Wasaini Mkataba wa Bilioni 60.7 Kuboresha Huduma za Maji Tunduma na Vwawa-Mlowo

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesaini mkataba wa msaada wa Euro milioni 20 sawa na shilingi za Tanzania bilioni 60.7 kutoka Serikali ya Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani kupitia Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KfW) kwa ajili ya kufadhili mradi wa Uboreshaji wa Huduma za...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Tanzania na WaterAid waahidi kuimarisha huduma za maji, usafi wa mazingira

    Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar, ameongoza ujumbe wa Tanzania katika kikao na ujumbe wa Taasisi ya WaterAid UK ulioongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kanda ya Kusini mwa Afrika, Robert Kampala, pembezoni mwa Mkutano Mkuu wa 61 wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) na Mkutano Mkuu wa 52...
  3. B

    JamiiForums Tanzania KERO Waziri wa Maji; Elerai mtaa wa tarimo tunahujumiwa huduma za maji

    Naomba kutoa taarifa kwako Jumaa Aweso waziri wa Maji. Sisi wakazi wa Mtaa wa Elerai jirani na shule ya msingi Burka tunahujumiwa na wasimamizi wa huduma za maji. Leo ni week ya tatu hata tone moja la maji halijatoka. Taarifa zisizo rasmi zinasema Pump ya kusukuma maji iliopo shule ya Msingi...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Mwenge wa uhuru wapongeza DAWASA uboreshaji huduma za maji Kigamboni

    Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa, ndugu Michael Mwang'onda, ameipongeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kwa utekelezaji mzuri wa mradi wa usambazaji maji katika Wilaya ya Kigamboni ulionufaisha Wakazi takribani 25,000 katika kata nne za Kibada...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi Huduma za maji ngazi jamii (CBWSO) tunaomba kupewa haki za kiutumishi kama wengine

    Wafanyakazi Chombo cha Watoa Huduma ya Maji Ngazi ya Jamii (CBWSOs) kiukweli tunapitia changamoto nyingi sana kwani tunafanya kazi nyingi usiku na mchana kuhakikisha huduma za maji zinakuwepo Tunaomba tupewe ajira za kudumu, tupewe haki za kiutumishi kama wengine Miezi mitatu bila mshahara...
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mhandisi Bwire: Tunairudisha DAWASA iwe ya wananchi tukishirikiana kupitia Wenyeviti wa mitaa changamoto zitaisha

    Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam DAWASA Mhandisi Mkama Bwire amesema wanakusudia kurejesha Mamlaka hiyo kwa wananchi ili kutoa fursa na na nafasi ya kufikisha mrejesho wa huduma na kutatua changamoto za Maji ili kusaidiwa kwa haraka. Mhandisi...
Back
Top Bottom