Naomba kutoa taarifa kwako Jumaa Aweso waziri wa Maji. Sisi wakazi wa Mtaa wa Elerai jirani na shule ya msingi Burka tunahujumiwa na wasimamizi wa huduma za maji. Leo ni week ya tatu hata tone moja la maji halijatoka.
Taarifa zisizo rasmi zinasema Pump ya kusukuma maji iliopo shule ya Msingi Burka imeibiwa. Hatuna taarifa zozote rasmi ila tetesi tu.
Mwishowa Siku wananchi tunahitaji maji tunateseka na wahudumu wa hapa hawako serious kabisa na kazi yao.
Tuanomba uwatake wakupe majibu yanayoeleweka. Je, pump imeibiwaje, na mbona iko na kibanda cha mlinzi masaa ishirini na nne? Kuna mlinzi au chanzo cha maji kusumbua ni nini?
Naomba kuwasilisha.