A
Ni shida sana.Aiseee
Ondokeni,Juma Aweso alidanganya sana cdos lkn hamna lolote,Wafanyakazi Chombo cha Watoa Huduma ya Maji Ngazi ya Jamii (CBWSOs) kiukweli tunapitia changamoto nyingi sana kwani tunafanya kazi nyingi usiku na mchana kuhakikisha huduma za maji zinakuwepo
Tunaomba tupewe ajira za kudumu, tupewe haki za kiutumishi kama wengine
Miezi mitatu bila mshahara, bima ya afya hakuna, mikataba hakuna hata kama ni ajira za muda tufikiriwe
Bila shaka mamlaka zitachukua hatua stahiki