A
Anonymous
Guest
Watumishi wa Afya Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma walioajiriwa mwaka 2024, mpaka leo bado hawajathibitishwa kazini.
Ukienda Ofisi ya Utumishi kuulizia wanakujibu bado hawajakaa kikao, hivi tunaanza mwaka wa pili sasa hakuna sababu maalumu ya kutothibitishwa.
Ukihoji sana wanakwambia kama unataka kukopa bank wanakopa bila kuthibitishwa, hii ni haki kweli? Inamaana lengo la kuthibitishwa ni kukopa? Mbaya zaidi ukihoji sana unajibiwa majibu ya hovyo.
Kulipwa tunalipwa ila kuthibitishwa ndo changamoto na sababu maalumu hakuna.