Ukimsikiliza huyu Jamaa unaona kabisa anakera na kutia hasira na Yuko comfortable kabisa kusimulia ujinga.
Yaani watu waligundua kabisa tena baada ya kupewa taarifa na wenyeji kwamba kuna hatari ya Maporomoko ya udongo Toka mwaka Jana ila wakakausha Hadi Maafa yametokea halafu ndio anasimulia.
Hii Nchi tutaendelea kupata hasara ya maisha, Mali nk kama tutaendelea kuchekeana Kwa uzembe wa namna hii.
Aisee washukuru Mimi sio Rais, saa hii mngekuwa nyuma ya nondo Kwa Mashtaka ya mauaji.
Pia soma >
Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 63