Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
If i could be IGPUkimsikiliza huyu Jamaa unaona kabisa anakera na kutia hasira na Yuko comfortable kabisa kusimulia ujinga.
Yaani watu waligundua kabisa tena baada ya kupewa taarifa na wenyeji kwamba kuna hatari ya Maporomoko ya udongo Toka mwaka Jana ila wakakausha Hadi Maafa yametokea halafu ndio anasimulia.
Hii Nchi tutaendelea kupata hasara ya maisha, Mali nk kama tutaendelea kuchekeana Kwa uzembe wa namna hii.
Aisee washukuru Mimi sio Rais, saa hii mngekuwa nyuma ya nondo Kwa Mashtaka ya mauaji.
Pia soma > Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 63
SureWatu wa kuambiwa wachukue tahadhari ni watanzania au wengine? Yaani nakuhakikishia hakuna mtu angechukua hatua yoyote
Jamaa anajifanya kama vile haishi TanzaniaWatu wa kuambiwa wachukue tahadhari ni watanzania au wengine? Yaani nakuhakikishia hakuna mtu angechukua hatua yoyote
Sio kila mtu amemsikiliza huyo uliyemsikiliza. ungetuwekea kama ni video au audio au link alaf baada ya mumsikiliza ndo tucommentUkimsikiliza huyu Jamaa unaona kabisa anakera na kutia hasira na Yuko comfortable kabisa kusimulia ujinga.
Yaani watu waligundua kabisa tena baada ya kupewa taarifa na wenyeji kwamba kuna hatari ya Maporomoko ya udongo Toka mwaka Jana ila wakakausha Hadi Maafa yametokea halafu ndio anasimulia.
Hii Nchi tutaendelea kupata hasara ya maisha, Mali nk kama tutaendelea kuchekeana Kwa uzembe wa namna hii.
Aisee washukuru Mimi sio Rais, saa hii mngekuwa nyuma ya nondo Kwa Mashtaka ya mauaji.
Pia soma > Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 63
Ndio.. ila wanatumia nguvu kubwa kuficha..Daa kumbe alieniambia ni volcano hakukosea
Ila wakazi wa zamani wamesema ilitokea miaka kama 50 iliyopita kama hii na maji yalijaa majumbani usawa wa madirisha
ππππ daaahDuh
Ngoja Wataalamu wa UNESCO wanakuja!
Video niliweka kutoka Clouds ila naona mods wameifuta na kuwatonya clouds huku kwenye mahojiano Nako wameiondoa π€ͺπ€ͺSio kila mtu amemsikiliza huyo uliyemsikiliza. ungetuwekea kama ni video au audio au link alaf baada ya mumsikiliza ndo tucomment
Mkuu watumishi wengi ni waoga wanafanya Kazi kwa kujipendekeza Kwa walio wateuwa pasi ya kuwa ambia ukweli ,Ukimsikiliza huyu Jamaa unaona kabisa anakera na kutia hasira na Yuko comfortable kabisa kusimulia ujinga.
Yaani watu waligundua kabisa tena baada ya kupewa taarifa na wenyeji kwamba kuna hatari ya Maporomoko ya udongo Toka mwaka Jana ila wakakausha Hadi Maafa yametokea halafu ndio anasimulia.
Hii Nchi tutaendelea kupata hasara ya maisha, Mali nk kama tutaendelea kuchekeana Kwa uzembe wa namna hii.
Aisee washukuru Mimi sio Rais, saa hii mngekuwa nyuma ya nondo Kwa Mashtaka ya mauaji.
Pia soma > Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 63
Ikiwa Volcano wanaficha ili iweje?Mnaficha nini? Kusema ukweli Mlima hanang (manyara) ni wa volcano na tope hizo ni hatua za awali kabla hazijalipuka wenyeji wanasema Mlima ulitoa hewa chafu na nzito
Kumbe Kuna volcano ya baridi siku hizi?Daa kumbe alieniambia ni volcano hakukosea
Ila wakazi wa zamani wamesema ilitokea miaka kama 50 iliyopita kama hii na maji yalijaa majumbani usawa wa madirisha
Tulishawambia mods wamenunuliwaVideo niliweka kutoka Clouds ila naona mods wameifuta na kuwatonya clouds huku kwenye mahojiano Nako wameiondoa π€ͺπ€ͺ
Nasubiri majibu na mimi mkuuIkiwa Volcano wanaficha ili iweje?
Pisi Kali chakula chao ni chapaa, maua wapelekee nyiku (utani).....[emoji125]Ila pisi za hanang ni kali mno, tuwape maua yao kwakweli [emoji39][emoji39][emoji1][emoji120], majanga kila mahali yapo
Aisee inawezekana mods wa saizi itakuwa ni wale wa pochi nene.Tulishawambia mods wamenunuliwa
Serikali ya CCM Ni ya kipumbavu sanaNdio.. ila wanatumia nguvu kubwa kuficha..
HahahaIla pisi za hanang ni kali mno, tuwape maua yao kwakweli ππππ, majanga kila mahali yapo