Leo nikiwa natoka kazini kwenye daladala nimekaa pembeni yangu alikuepo Nnesi amevaa sare ya kazi nahisi naye alikuwa anatoka kazini.
Kwakweli kwa upande wangu sijafurahia alikuwa anatoa kwa mbali manukato ya hospitali.
Nimejiuliza mtu anayeshinda na wagonjwa wengine ni magonjwa hatari je hawezi kubeba vimelea akaambukiza watu?
Je, mahospitalini hakuna dressing rooms?
Nafikiri ipigwe marufuku kwa watumishi wa afya kupanda na nguo za kazi kwenye usafiri wa umma.