elewa kwanza kisha ndio ucoment nimeuliza makazini hakuna dressing room? unaelewa ni kwanini manesi wanashauriwa kuvaa nguo fupi zisizofika miguuni?Sasa mtu anatoka kazini alafu unategemea atavaa nini?
Nesi atakuwa amevaa nguo nyeupe.
Fundi makanika atakuwa amevaa overlori.
Askari atakuwa amevaa kombati.
Acha zako kijana, na wauguzi wa kiume wanavaaga bukta?elewa kwanza kisha ndio ucoment nimeuliza makazini hakuna dressing room? unaelewa ni kwanini manesi wanashauriwa kuvaa nguo fupi zisizofika miguuni?
Naona stress za kutoongezwa mshahara kama mlivyo ahidiwa zinakusumbua.elewa kwanza kisha ndio ucoment nimeuliza makazini hakuna dressing room? unaelewa ni kwanini manesi wanashauriwa kuvaa nguo fupi zisizofika miguuni?
Msamehe bure naona ana stress zinamsumbuaKwani alikua anakumbatia wagonjwa huko hospital hadi uhisi amebeba vimelea vya magonjwa?
Btw ni magonjwa gani unahisi atakuambukiza just kwa kukaa naye karibu?
[emoji23][emoji23][emoji23] nimecheke kwa nguvu mzee shukurani..Acha zako kijana, na wauguzi wa kiume wanavaaga bukta?
Jamaa anazingua sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheke kwa nguvu mzee shukurani..
Hahaaa kwakweli, ingekua hivyo basi familia za hao manesi na maDr ndio zingekua za kwanza kuteketea kwa magonjwaMsamehe bure naona ana stress zinamsumbua
Watu wengine sijui kama huwa wanajishauri kabla ya kupandisha uzi jukwaani.Hahaaa kwakweli, ingekua hivyo basi familia za hao manesi na maDr ndio zingekua za kwanza kuteketea kwa magonjwa
wewe nesi wa kiume waambie manes wenzio nguo wavulie huko hukoNaona stress za kutoongezwa mshahara kama mlivyo ahidiwa zinakusumbua.
Nani anakulazimisha kupanda magari ya usafiri wa umma wakati unajijua kuwa wewe ni mbaguzi?
Kawaida hospital kuna dressing room. Mtu unakwenda na nguo zako.Ukifika hospital ndo unavaa uniform. Ukimaliza kazi unakwenda kuvaa nguo zako. Zile uniform ulizovaa unaweka kwenye fuko la nguo chafu. Wafuaji watakuja kukusanya na kupeleka washing house. Ulaya raha jamaniiiiiiiiiiii.elewa kwanza kisha ndio ucoment nimeuliza makazini hakuna dressing room? unaelewa ni kwanini manesi wanashauriwa kuvaa nguo fupi zisizofika miguuni?
Anatakiwa abadilishie huko kazini.Sasa mtu anatoka kazini alafu unategemea atavaa nini?
Nesi atakuwa amevaa nguo nyeupe.
Fundi makanika atakuwa amevaa overlori.
Askari atakuwa amevaa kombati.
Jamaa yuko sahihi, kwa nesi haijakaa sawa, huko kuna magonjwa ya kuambukiza.Sasa mtu anatoka kazini alafu unategemea atavaa nini?
Nesi atakuwa amevaa nguo nyeupe.
Fundi makanika atakuwa amevaa overlori.
Askari atakuwa amevaa kombati.
Madam naomba connection basiiiKawaida hospital kuna dressing room. Mtu unakwenda na nguo zako.Ukifika hospital ndo unavaa uniform. Ukimaliza kazi unakwenda kuvaa nguo zako. Zile uniform ulizovaa unaweka kwenye fuko la nguo chafu. Wafuaji watakuja kukusanya na kupeleka washing house. Ulaya raha jamaniiiiiiiiiiii.