Watumishi wa Afya kuvaa mavazi ya kazi kwenye usafiri wa Umma ni hatari kwa afya za wananchi

wewe nesi wa kiume waambie manes wenzio nguo wavulie huko huko
Hakuna wa kuvua nguo ili mradi hakuna sheria inasema hivyo.

Chagua moja kuwavumilia binadamu wenzako wakati wa kusafiri kwenye usafiri wa umma au nunua gari lako.
 
Waambieni wizara husika wawanunulie usafiri hiyo kero itakwisha
kwaiyo akili yako inawaza option pekee ni wizara kununua usafiri? ndio akili imewaza ikaishia hapo?
 
upo sahihi zaidi ila umesahau kumalizia kua ni kwa ulaya.
 
sheria ya mavazi ya serikali inamtaka kila muhudumu kutokuvaa nguo ya kazi(uniform) nje ya eneo la kazi(hospitali/zahanati/kituo cha afya) tafadhali pitia sheria ya mavazi ya kazi.
 
sheria ya mavazi ya serikali inamtaka kila muhudumu kutokuvaa nguo ya kazi(uniform) nje ya eneo la kazi(hospitali/zahanati/kituo cha afya) tafadhali pitia sheria ya mavazi ya kazi.
mbn sasa wapo wanaokiuka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…