A
Anonymous
Guest
Watumishi wa Halmashauri ya Itilima (Walimu) hatujalipwa hela ya likizo ya nauli ya Desemba 2025
Mimi ni Mtumishi wa Umma kutoka Halmashauri ya Itilima, kero yangu ni kwamba hatujalipwa hela ya likizo ya nauli ya Desemba 2025 mpaka leo hii Mei 2026, kitu ambacho kinashangaza kwasababu Halmashauri zingine za mikoa mingine wameshalipwa.
Kwa upande wa walimu sijajua kada nyingine, na hivi karibuni wametuma majina eti tuombe kwenye Mfumo wa ESS likizo 2025, kibaya zaidi katika majina hayo baadhi hawamo kwenye orodha.