Watumishi wa Halmashauri ya Kyela walioajiriwa mwaka 2022 bado hatujapandishwa madaraja, wakati watumishi wa halmashauri nyingine tayari wamefanyiwa utaratibu huo.
Tunapofuatilia suala hili hatupati majibu ya kueleweka. Tunaomba msaada ili wahusika watoe ufafanuzi na kuhakikisha haki yetu inazingatiwa.
Miaka minne tumetimiza tayari mwaka huu kama mwongozo unavyosema, pepmis pia tulifanikiwa kutimiza zaidi ya asilimia 75%l akini tunashangaa hatupandishwi daraja wakati watumishi wengine wa halmashauri nyingine ambao tumeajiriwa nao tayari wamepanda, Mamlaka zinazohusika tunaomba tufatiliwe swala letu