Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amezitaka Halmashauri zote nchini kutumia michezo kama nyenzo ya kuimarisha afya, ustawi, mshikamano na tija kwa watumishi, ili kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi zaidi.
Prof...
Watumishi wa Halmashauri ya Kyela walioajiriwa mwaka 2022 bado hatujapandishwa madaraja, wakati watumishi wa halmashauri nyingine tayari wamefanyiwa utaratibu huo.
Tunapofuatilia suala hili hatupati majibu ya kueleweka. Tunaomba msaada ili wahusika watoe ufafanuzi na kuhakikisha haki yetu...
Habar za wakati huu.!Mimi ni mdau na mwananchi na mtumishi katika taasisi ya serekali kero yangu ni moja hasa katika Wilaya ya Handeni katika Halmashauri ya Mkata(handeni)Watumishi wa hapa wamekuwa wakitembea na wake za watu na pia waume za watu wamekuwa wakitembea na wajirani wapya au mabinti...
Anonymous
Thread
familia
halmashaurihalmashauri ya handeni
handeni
kutelekeza
watumishiwatumishiwahalmashauri
Mchoraji wa Katuni na Mdau wa Habari, Masoud Kipanya ametoa hoja kuhusu Watumishi wa Halmashauri, alitoa maoni hayo Juni 3, 2026 wakati akihojiwa na Mwandishi wa Bongo FM.
Mahojiano yao kwa maneno yakuwa
Mwandishi wa Bongo FM: Sawa sawa. Pengine kwenye eneo ambalo pengine ukilitazama unaona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.