A
Anonymous
Guest
Habar za wakati huu.!Mimi ni mdau na mwananchi na mtumishi katika taasisi ya serekali kero yangu ni moja hasa katika Wilaya ya Handeni katika Halmashauri ya Mkata(handeni)Watumishi wa hapa wamekuwa wakitembea na wake za watu na pia waume za watu wamekuwa wakitembea na wajirani wapya au mabinti.
Imefika hatua mwanaume anaacha mie wake wa ndoa na kulala kwa binti ambaye hajaolewa na hutumia madawa sana katika kufanikisha jambo hili.!
Imekuwa kero katika familia zetu na utumishi imefikia hatua watumishi wenyewe wanapigana hadi kuandikiwa barua za utumishi.
Jamani hii ni kero kubwa sana.
Watumishi wa zamani na wapya bakini na rudini katika familia na wake zenu.
Naweza kutaja hadi majina ya mfano katika hilo, ila nawasihi na kutoa kama kero maana imekuwa ni kero katika familia zetu na wake na waume zetu watoto wanateseka.
Mtu uliamua kuoa mke miaka mitano nyuma, basi baki na mke wako na wewe binti ambaye hujaolewa tafuta mume wako jamani ukae naye na uolewe naye sio kuja kuharibu familia zetu.!
Kuna muhasibu mmoja wa Halmashauri yeye amesusa na kuitelekeza familia kisa binti na amefunga ndoa kanisani na watoto jamani.
Binti tafuta mume wako utapata lakini sio kuja kuiba mume wangu.! Watumishi badilikeni na ishi kadiri ta utumishi na maadaili ya madhehebu yenu na Jamii lakini sio kugawana wanawake na wanaume kisha mnatelekeza familia.