GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
- Thread starter
- #21
Ingekuwa ni uamuzi wangu, ningewafuta kazi watumishi wote wa idara ya ardhi na kuanza kuajiri upya kwa kuwachukua wale tu waliofanyiwa vetting na kuthibitishwa kuwa ni waadilifu.Ni kweli kabisa Mleta HOJA,hawa jamaa ni CHANGAMOTO, na wote wanafanana,kuanzia Wizarani hadi Halmashauri za Wilaya..nadhani MITAALA yao inashida sehemu..Mh Slaa unakazi kubwa