GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
- Thread starter
-
- #21
Ingekuwa ni uamuzi wangu, ningewafuta kazi watumishi wote wa idara ya ardhi na kuanza kuajiri upya kwa kuwachukua wale tu waliofanyiwa vetting na kuthibitishwa kuwa ni waadilifu.Ni kweli kabisa Mleta HOJA,hawa jamaa ni CHANGAMOTO, na wote wanafanana,kuanzia Wizarani hadi Halmashauri za Wilaya..nadhani MITAALA yao inashida sehemu..Mh Slaa unakazi kubwa
Angalia majiji makubwa kama Arusha, Mwanza na Dar Es Salaam! Kero zilizosababishwa na watumishi wa hiyo idara ni lukuki!
Kuna waliopokonywa ardhi isivyo halali!
Kuna waliotapeliwa!, n.k.
Kesi ni nyingi sana.
Baada ya kuona malalamiko yanayoshughulikiwa na Waziri wa Ardhi, Jerry Slaa, pamoja na wakuu wa mikoa, Makonda na Chalamila kwenye maeneo yao ya kazi, nimeshindwa kuacha kujiuliza maswali kuhusiana na watumishi wa idara ya ardhi Tanzania.
Wana shida gani?
"Wameelaniwa"?
Wapi kumeoza zaidi
TRA
TANESCO
ARDHI
DAWASCO
AFYA (MANESI)
POLISI
Serikali ndio inalea wezi. Haichukui hatua za makusudAngalia majiji makubwa kama Arusha, Mwanza na Dar Es Salaam! Kero zilizosababishwa na watumishi wa hiyo idara ni lukuki!
Kuna waliopokonywa ardhi isivyo halali!
Kuna waliotapeliwa!, n.k.
Kesi ni nyingi sana.
Baada ya kuona malalamiko yanayoshughulikiwa na Waziri wa Ardhi, Jerry Slaa, pamoja na wakuu wa mikoa, Makonda na Chalamila kwenye maeneo yao ya kazi, nimeshindwa kuacha kujiuliza maswali kuhusiana na watumishi wa idara ya ardhi Tanzania.
Wana shida gani?
"Wameelaniwa"?
Watazid kuchanganyikiwa maana wizi na uzembe vimetawala vichwani mwa wasimamizi wa rasilimaliNi kweli kabisa Mleta HOJA,hawa jamaa ni CHANGAMOTO, na wote wanafanana,kuanzia Wizarani hadi Halmashauri za Wilaya..nadhani MITAALA yao inashida sehemu..Mh Slaa unakazi kubwa
Sasa mbona afya umeiweka kuwa chaguo la mwisho? Ingekua ya kwanzaWapi kumeoza zaidi
TRA
TANESCO
ARDHI
DAWASCO
AFYA (MANESI)
POLISI
Ni taasisi zote Tanzania utendaji kazi ni chini ya kiwango.
Nadhani Sasa Kama tulivyowapa waarabu bandari, tuwape jeshi la polisi, wizara ya ardhi, Tanesco, mwendokasi, Tanapa, haya majiji yote sita, Tanroads, chuo Cha Udom na TRC.Ni taasisi zote Tanzania utendaji kazi ni chini ya kiwango.
Lakini JWTZ wanajitahidi sana.Ni taasisi zote Tanzania utendaji kazi ni chini ya kiwango.
Hawa jamaa hakuna aliekuwa anawafuatilia, wamezoea ku roam around. Now madudu yao yanakuwa unearthedAngalia majiji makubwa kama Arusha, Mwanza na Dar Es Salaam! Kero zilizosababishwa na watumishi wa hiyo idara ni lukuki!
Kuna waliopokonywa ardhi isivyo halali!
Kuna waliotapeliwa!, n.k.
Kesi ni nyingi sana.
Baada ya kuona malalamiko yanayoshughulikiwa na Waziri wa Ardhi, Jerry Slaa, pamoja na wakuu wa mikoa, Makonda na Chalamila kwenye maeneo yao ya kazi, nimeshindwa kuacha kujiuliza maswali kuhusiana na watumishi wa idara ya ardhi Tanzania.
Wana shida gani?
"Wameelaniwa"?
Ila wana roho ngumu sana.Hawa jamaa hakuna aliekuwa anawafuatilia, wamezoea ku roam around. Now madudu yao yanakuwa unearthed
T.r.a wanakadiria Kodi kubwa watu ili ulalamike utoe rushwa wakupunguzie..na hyo ni desturi kila mwaka lazima ukadiriwe hvo wameoza Bora hao ardhiHapo kwa TRA na manesi sijafahamu ni kwa vipi huduma zao sio za kuridhisha?
Naomba elezea tafadhali japo kwa kifupi tu.
Acha warogwe tu,Mshua wangu alinunua kiwanja akajenga,sasa aliyemuuzia akarudi kijijini ila mjini alimwachia mtoto wa mdogo wake,kumbe jamaa wana ndugu yao yupo Idara ya Ardhi,akaenda kuchungulia Mshua aliuziwa kiwanja bei gani.Alipokuja kugundua akaanza ukorofi eti Baba Mkubwa alikuuzia kiwanja kwa bei rahisi.Kama Mshua asingekuwa na msimamo angeambiwa abomoe nyumba.Ni idara iliyojaa vishawishi na dhuluma. Kurogana kupo kwingi sana. Kuna watumishi wengi nimeshuhudia wakiugua magonjwa ya ajabu kutokana na kushiriki dhuluma.