Tito Zungwe
New Member
- Apr 10, 2026
- 1
- 0
Habari,
Sisi watumishi wa Kituo cha Afya Mkonoo, Mkoa wa Arusha, tunaomba kupaziwa sauti kuhusu changamoto zinazotukabili.
Tunahamasishwa kukusanya mapato kituoni, lakini mahitaji muhimu kama gloves na maji hayapatikani, licha ya fedha kukusanywa na mhasibu kila siku.
Pia, hatupewi malipo ya extraduty wala fedha za sare (uniform) kama inavyotakiwa. Kwa mwaka mzima, hupewa extraduty moja tu ya Shilingi 40,000. Tunapouliza, tunaambiwa hakuna kifungu cha fedha.
Tunaomba Halmashauri ya Jiji la Arusha itusaidie kushughulikia changamoto hizi ili kuboresha mazingira ya kazi na huduma kwa wananchi.